Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Martial kipindi cha kwanza hakuweza hata kumlenga kipa hii ni aibu kwake kama anataka apangwe kila siku
Man Utd 2- na hiyo timu nyingine 1ngapi ngapi wakuu mie hata siangalii hii game.
siku hazifanani.Mikhi Leo kiwango chini ukiondoa pasi LA Rashford kufunga bao
hatimae tumeshinda tena.
Man Utd 2- na hiyo timu nyingine 1
hahahahaha eti timu nyingine lol! hata wapinzani wenu hujui wanaitwa nani? Hongereni lakini si haba kama mtaweza kushinda kikombe cha uchochoroni/kombe mbuzi 🙂
Tutakaza game ya finali next weekendLeo tumecheza kichovu sana.
Uchokozi huo mkuu, shukuru ndio kombe saizi yako hili, kwanza unajua kuwa Arsenal wamempa ofa Wenger miaka miwili? Bado mzee mwenyewe tu kuamua