Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Blackburn 1-1 Manutd
MurgentinaDe Gea?
Sijui kwanini manutd kipindi cha kwanza ni mlendamlenda hivi bila cha pili huzindukaSafu ya ushambuliaji inakosa mipango
Hajiamini kabisaLingard kapotea leo
Christopher samba, mame alhaj diuf wakina Nelson duh kitambo snaUshindi kama kawaida yetu, wanakumbushia ligi kuu muda kidogo, kama Ben McCarthy, Paul Robinson, Savage,Nelson na wengine