Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyakati zina changamoto zake mababu zetu hawakujua tarehe ila matukio kama mtoto alizaliwa wakati wa vita au njaa kama sio nzige. Sasa sijui miaka ijayo nasi tutawaambia wajukuu zetu kuwa baba zao walizaliwa wakati giggs anakikusanya kijiji cha mabeki wa arsenal na kufunga goli au hazard alipowakusanya mabeki wa arsenal na kufunga goli? wakati umebadilika nawaza tu jamani.

rubaman angalia alichoandika mheshimiwa huyu

Huyu mheshimiwa atakuwa ni mchochezi
 
7010b48257cac57b589f879b87df88cd.jpg
rekodi
 
kuna watu wawili wanafanya kazi kimya kimya valencia na herrera daa hatar sana

huko aliko van gaal akimuona herrera sijui anajisikiaje

kwa ujumla timu ilikuwa ya moto sana leo ni hatar sana mkhitaryan akicheza namba 10 sio atokee pembeni kocha wetu kajichelewesha sana anafunga na ku assist.
 
Jaribu kuwa na aibu kidogo mkuu


mkuu najua jamaa kwa kuwa hakumuona martial ila ki ukweli kinachomponza martial hawek jitihada kama mkhitaryan analalamika sana mwenzie alipoambiwa hayuko fit alianza mazoez binafs atapotea ki urahisi sana kama akisajiliwa griezman kuna shida hapo rashfod huwez kumtoa ki rahis ana pace sana


mourinho hamuonei tufuatilie toka akiwa france euro ina maana deschamps alikuwa anamuonea? ajitume tu manchester inataka kurud juu kwa hali na mali.
 
Back
Top Bottom