Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,244
Ibra Cadabra...Huyu jamaa kama mvinyo...hachuji


Mentor please. There are better things to do.Nyie ni wa 6 tu bana! Eti mpaka Arsenal afungwe na Hull. Na hafungwi basi....
Heko mtaa wa 6.
Half time...naona mmeamkamo japo kidogo.
Huyu Gabriel Jesus wa man city pia atakuja kuwa tishio sana, united walizingua dk za mwisho wala wasingekuwa na haja na kina Griezman, dogo linajua sanajamani kuna mtoto yupo everton ni hatar sana anaitwa lookman muda utaongea
Huyu Gabriel Jesus wa man city pia atakuja kuwa tishio sana, united walizingua dk za mwisho wala wasingekuwa na haja na kina Griezman, dogo linajua sana
Vitu vingine ni vigumu kuona. Rashford is handful zaidi ya Martial even though sometimes I prefer Martial kutegemea na game.Lakini Rashford sio mtu wa kuanza kabisa leo kapooza sana. Martial wetu mou dah.
Halafu? Where do you go from there?No motivation???? really???
Tukishinda leo tofauti yetu na mtu wa nne itakuwa ni point 2
Tukishinda leo tofauti yetu na mtu wa tano itakuwa ni point 1
Mkuu, huku honolulu ni saa 12 asubuhi. Hata muda wa kwenda kanisani bado...hahahahahhaMentor please. There are better things to do.
What a goal by Mata....even if you are a hater you gotta like this!Mkuu, huku honolulu ni saa 12 asubuhi. Hata muda wa kwenda kanisani bado...hahahahahha