Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

There is only one JUAN MANUEL GARCIA MATA
 

Attachments

  • IMG-20170205-WA0036.jpg
    IMG-20170205-WA0036.jpg
    88.8 KB · Views: 24
Woyooooooo!!!!! Hatareeeee!!! Kama nilivyosema hii ni wiki yetu ya mwisho kukaa sita yatosha kuzunguka namba hii!!!!....... karibuni kwenye utukufu ambao tunatakiwa tuwe..... asante Man U .....GGMU
Wakae vizuri hapo juu tunakwenda ushindi wa leo ni kati ya zile siku unaomba mpira usiishe upate burdan sio usawazishe
 
Nyakati zina changamoto zake mababu zetu hawakujua tarehe ila matukio kama mtoto alizaliwa wakati wa vita au njaa kama sio nzige. Sasa sijui miaka ijayo nasi tutawaambia wajukuu zetu kuwa baba zao walizaliwa wakati giggs anakikusanya kijiji cha mabeki wa arsenal na kufunga goli au hazard alipowakusanya mabeki wa arsenal na kufunga goli? wakati umebadilika nawaza tu jamani.
 
Back
Top Bottom