Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jaman tumeshnda ila bado nawaza tu kwann martial hizi mechi mbl tatu haanz?? Au kn nn?? Mana leo rashford super sub ckuona ya kuanza leo na kumuacha martial njee au kn bifu na mourhno??
 
9080658c86f7d616483938e2cce56fca.jpg
. Alichonifanyia vardy Leo
 
jamani rojo aliumia au ni sub ya kawaida mana naona shaw tayar kishapoteza namba
 
Jaman tumeshnda ila bado nawaza tu kwann martial hizi mechi mbl tatu haanz?? Au kn nn?? Mana leo rashford super sub ckuona ya kuanza leo na kumuacha martial njee au kn bifu na mourhno??

hakuna bif kishaambiwa akaze kama mik lakin yeye analialia sana
 
I hope leo Jose amejifunza Mkhitaryan ni mzuri zaidi akicheza no 10 kuliko akicheza winga na leo ameprove hilo pia hakuna sababu yao kuwachezesha Pogba,Herrera na Carick kwa pamoja kwenye mechi ambazo tunahitaji ushindi

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Hofu yangu kwahiyo combo ya herrera na pogba mpinzani akiwa mjanja tu ni rahisi kufungwa maana wote hao wakishapitwa ujanja amna zaidi ya kuvuta mashati tofauti na carrick akiwepo tunakuwa safe sana katika ulinzi maana yeye uwa asogei sana juu anachofanya nikuufanya mpira usogee tofauti na wakina pogba.
 
Mourinho said: “Sometimes the best way to protect the players is not to play them. Your perspective is that if a player is not playing, the manager is disturbing him. But it's not true.
 
Hofu yangu kwahiyo combo ya herrera na pogba mpinzani akiwa mjanja tu ni rahisi kufungwa maana wote hao wakishapitwa ujanja amna zaidi ya kuvuta mashati tofauti na carrick akiwepo tunakuwa safe sana katika ulinzi maana yeye uwa asogei sana juu anachofanya nikuufanya mpira usogee tofauti na wakina pogba.
1.Defence yetu msimu huu imetulia na kurudi kwa Baily defence iko OK,Baily mzuri sana kuzuia mashambulizi umemuona alivyokuwa anazuia na kukaba

2.Sijasema Carick asicheze kabisa mechi zote,acheze hasa kwenye big match kupunguza mashambulizi

4.Kucheza huo mfumo kunamfanya Pogba anacheza kwa discipline sana game ya Leicester ni moja ya game ambazo Pogba amecheza vizuri sana
 
Pogba ni mzuri lakini yuko slow sana.Tunahitaji viungo design ya Mikhi,wenye kupiga chenga na wenye mbio,
 
Pogba ni mzuri lakini yuko slow sana.Tunahitaji viungo design ya Mikhi,wenye kupiga chenga na wenye mbio,

mkuu pogba kacheza mpira ambao kila siku nlikuwa nataka kuuona kacheza kama kiungo anaetakiwa kuipeleka timu mbele jambo ambalo kafanya yule hatakiw kupiga chenga lasivyo oofside zitakuwa za kutosha atakaa sana na mipira alikuwa anaachia mpira fasta na kuuomba angalia scholes,xav iniesta hamnaga chenga ni pasi za jicho tu kazi ya chenga ni wakina mata kule pogba kacheza kama scholes alivyokuwa kila siku anamshaur timu ilikuwa vizur sana tukipata na mzoefu upande wa rashfod mik na mata pafect combo halafu na namba 5 na 6 tayar tushakuwa kiwembe namba 10 tayar tuliikosa muda mrefu sana key player
 
The irrepressible Mkhitaryan proved that there surely can only be one future role for him in the Reds' XI and that is as the number 10.

hapa captain wetu wazza nahis atakuwa tayar anajua kinachoendelea

siku mbili za nyuma wakat mou anahojiwa aliwaambia waandishi kamwe hawez kumweka mik nje tulipotoka kucheza na wigan
 
Back
Top Bottom