Nyie ni wa 6 tu bana! Eti mpaka Arsenal afungwe na Hull. Na hafungwi basi....Utajua maana ya hii mechi next week arsenal watakapofungwa na Hull
goatd.netJamani Naombeni link ya free live streaming
Nadhani maneno ya kina Rio yanamuingia.Pogba leo katika ubora wake.. anaachia pass kwa wakati na wala hana mbwembwe leo..
Mtu anaembeza Pogba hajui mpira. Makosa kwa mchezaji ni kawaida hasa akiwa na umri kama wa Pogba ila ukiweka chuki pembeni utaona ni jinsi gani Pogba ni mchezaji mzuri.
Akiwa anacheza hivi kila siku atakua much better zaidi ya hapo.. jamaa kipaji anachoNadhani maneno ya kina Rio yanamuingia.
Hakuna mechi meaningless kama hii kwa man utd..hahahahaha
Yani mshinde, mnabaki wa 6.
Mfungwe mnabaki wa 6.
No motivation kabisa aisee.