Hahahhaha umvumilie si unajua tena babuuuu!!! Ila ukumbuke wazee ni hazina pengine aliona jamboTatizo kauli mbofu mbofu za babu yenuu ndio zinasababisha yote hayaaaaaaaasaa
Kiukweli naamini hivyo, unamaliza ndani ya top 4. Japo now mmelipia kodi ya miezi kadhaa namba sitaEeeehhhhh ntajua mwenyewe nikufanye nini!!! .....Eeeeehhh namna hiyo nipe nipe matumaini miye aaaaahhhh!!! Siyo kila siku makavu afterall sikuaffect kwa lolote!!!
Yule ana chuki binafsi, naalimuamini sana Mourinho na Guardiola bila kuona uwezo na njaa ya wachezaji.Hahahhaha umvumilie si unajua tena babuuuu!!! Ila ukumbuke wazee ni hazina pengine aliona jambo
Hahahhaha weka tu chuki pembeni najua kwanini hutupendi tuliwatesa sana!!Kiukweli naamini hivyo, unamaliza ndani ya top 4. Japo now mmelipia kodi ya miezi kadhaa namba sita
Halafu hii timu toka kipindi cha sir Alex siipendi
Hahahaah tumsamehe utabiri anashindwa TB J yeye ni nani bana!!! HahhahahahaYule ana chuki binafsi, naalimuamini sana Mourinho na Guardiola bila kuona uwezo na njaa ya wachezaji.
Hahahhaha weka tu chuki pembeni najua kwanini hutupendi tuliwatesa sana!!
Yule mzee yule sijui alikuwa na nini na dk zake za mwisho mwisho zile za ajabu ajabu.Hahahaah tumsamehe utabiri anashindwa TB J yeye ni nani bana!!! Hahhahahaha
Kiukweli naamini hivyo, unamaliza ndani ya top 4. Japo now mmelipia kodi ya miezi kadhaa namba sita
Halafu hii timu toka kipindi cha sir Alex siipendi
Sasa mmetosheka? Mmeshiba ndoo? Hamtaki tena ndoo?Mbona ndoo tushaibeba sana, 20 times
Waogope MATAPELI eneo hili HALIUZWI.
Hatubanduki....
Ata aje messi pale mmeshabkia history
...at the end of the day 3 points tumeondoka nazo
Mkuu, timu zinzoshuka daraja ni majanga. Hii game yenu ngumu tena ukizingatia Sunderland na Hully city wameshinda.jamani leo mourinho asifanye mchezo maiti anaweza kutung'ang'ania wana point 21 wapo nafas ya 16 sanderland wa mwisho ana point 19 hatar sana.
namshaur amzuie pogba asiende kulemba nywele kila akilemba ni droo akiziacha nyeus tunashinda vizur sana
Semeni tena Arsenal katupia bao 2
Mkuu, timu zinzoshuka daraja ni majanga. Hii game yenu ngumu tena ukizingatia Sunderland na Hully city wameshinda.
Top4Kwanza nijuze, kilicho chenu ni kipi????