Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mechi za Park hizi kuwatoa na ferguson anajua sehemu ya kumtumia.
Wangeni sana ila leo awa O4 tunawapiga bao kama jina lao vile....yaani Nne Bila......
Go go go my boooooooys!
Wapi Mbu?
Tunasubiria stats za Arsenal na defence nzuri!! Otherwise STFU.Mechi zenu zote za kununua mtaachaje kuwa na wasi wasi? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Neuer anawatoa hawa...!!Amna bek apa...@Shalke04
Hapo kwenye nyekundu umenichanganya mkuu na sasa naangalia agape tv sioni kitu. Msaada tafadhali.
Nipo Michelle tunawanga humu manake walituwangia mechi yetu na barca hawa.wapo hapa upepo ukibadirika wanaweza kuwa guests lol.mkuu AW upo? nampa matumaini Eqlypz akae hapa,manake Manda/Papizo/Mfarisayo/BJ sijawaona, tukibaki hili jukwaa wenyewe tutaboreka....l.o.l:smile-big:
Pamoja Mkuu huwa nachungulia humu kama guest ila nina uhakika chama letu leo lazima lishinde.Wangeni sana ila leo awa O4 tunawapiga bao kama jina lao vile....yaani Nne Bila......
Go go go my boooooooys!
Wapi Mbu?
Angalia usije anguka na ungo wako, mahali hapa ni patakatifu
Naona una wanga lolGood to see you Manda....:smile-big:
Neuer anawatoa hawa...!!
Schalke mbona wana nikatisha tamaa mapema yote hii?