Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii weekend marefa wamechemsha sana aisee..hope something will be done about it
In fact msimu mzima marefa wanachemsha sana. Magoli ya offside wanaruhusu, wanakataa magoli ambayo sio offside, penati wanakataa ambazo ni penati wanakubali ambazo sizo. Yaani ni balaa, sasa mashabiki uchwara ndio wanakuja kusema timu fulani inabebwa kumbe ni incompetence ya marefa tu.
 
Poleni sana NDUGU zangu RRONDO na Nzi na wengineo wengi
Mwaka wa 4 huu sasa unakatika na nyie mnaanza kutuletea mambo ya historia ehehehe
Nadhani kuchukua tena EPL nyie "nialu amele logele"
au hadi "kajamba amele embembe"
Majogoo yanakuwa mabingwa mwaka huu,msitishike na Chelsea sababu mm nampiga easy
Pia hawezi toka kwa Arsenal lkn kwenu nyie mhhh!
 
kila mwaka ni mwaka wa liverpool ukifika wa tano gerald anateleza
 
Wayne Rooney salvaged a 1-1 draw for Manchester United with his record-breaking equaliser against Stoke on Saturday, but it was another game in which poor finishing cost them dearly.

Jose Mourinho's side had 25 shots to Stoke's six at the Britannia Stadium, but they missed a string of scoring chances before Rooney's free kick sailed in at the death.

Juan Mata spurned their best opportunity when he blasted over from few yards out in the first half, but there were also misses from Zlatan Ibrahimovic, Henrikh Mkhitaryan, Paul Pogba and Marcus Rashford.

The stats behind Manchester United's finishing issues
 
Poleni sana NDUGU zangu RRONDO na Nzi na wengineo wengi
Mwaka wa 4 huu sasa unakatika na nyie mnaanza kutuletea mambo ya historia ehehehe
Nadhani kuchukua tena EPL nyie "nialu amele logele"
au hadi "kajamba amele embembe"
Majogoo yanakuwa mabingwa mwaka huu,msitishike na Chelsea sababu mm nampiga easy
Pia hawezi toka kwa Arsenal lkn kwenu nyie mhhh!
Mimi nimepata point moja. Wewe uliepata kichapo ndio unahitaji pole.
 
Kwa kauli aliyoitoa mourinho naona kuna mabadiliko makubwa sna rooney safar imeiva
 
Hahhahah...usiwakumbushe mkuu wnaugulia sindano tatu safi
Kwaio wanasikilizia maumivu
kuna mahal nilikua jamaa wanaume wazima wanashangilia wakajua tushafungwa na mpira unaisha..wanakata miuno
watu tumekaa kimya tu ....rooney alipoweka mpira akaonyesha kaishara flan kwa ibra kadabra ...kitu kikanyooshwa....wavuni!!
Ila nasikia refa aliyechezesha haipendi man u na hampend morinho
Tulipigwa tano. Na leicester refa alikua huyuhuyu
 
Screenshot_2017-01-23-14-56-39.jpeg
 
mapengo mawili yanatusumbua sana moja la paul scholes la pili la huyu michael carrick daaaa pasua kichwa sana yakizibwa hayo wataumia sana
 
wasikupe shida hao waathirika wa manchester united anaangalia stoke ashinde hajui refa kanyima penat mbili analilia dakika tu hajui kuwa dakika 6 ni chache sio sawa na 90 kama umeweza kulinda goli dakika 90 unashindwaje dakika 4? mbon swansea kalinda goli zake ndani ya dakika 6 za liver? tena nyumban kwa liver stoke yupo kwake
yule lefa aliiua sana united
 
Back
Top Bottom