Bahati aikuwa upande wetu nafasi zilipatikana Pogba, Mick, Martial, Cadabra(faulo)....tulipotea mchezoni kuanzia mashabiki mpaka wachezaji aftr lile goli la Penalt kwa mtizamo wangu tukio zima lilikuwa ni 50/50 maamuzi yalikuwa ni ya Refa kuitoa au kuiacha yote ingekuwa sawa...mabadiliko ya kocha ya kumtoa Damian na kumwingza Mata kwa dakika zile naisi game ilimuitaji Rashford kuliko Mata....time aliyoingzwa Rooney ingekuwa poa zaid km angeingia Mata..ya leo yamepita wakuu tujipange kwa next game...16 Games Ubeaten [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]