Mkuu nakubaliana na ww 100% hata km angefanya sub mapema ya Mata kwa Pogba influence ingenekana mapema pili mata hawezi kufanya utoto km pogba aliufanya uliopelekea penalty game ilikuwa yetu kabisa but all in all sio mbayaHahaha my wish imetimia nawashukur sana Klabu na mashabiki wa man utd.
Ila wacha niseme tu: ile game angeanza mata pale kati badala ya Pogba mngeshinda mapema sana. Mata is way better than Pogba. ametulia sana ana vision ana pass nzuri.
Pogba is good - nisinukuliwe vibaya - ila kwa games za Hull huko. Big games, weka Mata kati uone matokeo. I still miss him...Mata/Silva/Fabregas...my kind of players!!!
Mata asingefanya chochote pale kati kwa jinsi Klopp alivyopanga timu yake. Klopp amepanga timu kuhakikisha Man Utd hawechezi mpira katikati.Hahaha my wish imetimia nawashukur sana Klabu na mashabiki wa man utd.
Ila wacha niseme tu: ile game angeanza mata pale kati badala ya Pogba mngeshinda mapema sana. Mata is way better than Pogba. ametulia sana ana vision ana pass nzuri.
Pogba is good - nisinukuliwe vibaya - ila kwa games za Hull huko. Big games, weka Mata kati uone matokeo. I still miss him...Mata/Silva/Fabregas...my kind of players!!!
Mkuu nimekusoma, wanasema nyani haoni kunduleMata asingefanya chochote pale kati kwa jinsi Klopp alivyopanga timu yake. Klopp amepanga timu kuhakikisha Man Utd hawechezi mpira katikati.
Ndio maana Mourinho alimtoa Carrick na kuwashangaza wengi kumuingiza Big Fella lengo lake lilikuwa ku-bypass midfield na kucheza direct, from then on defense ya Liverpool ilianza kupata pressure na goli lilipatikana kwa style hio direct on your face football.
Inapendeza kuona Mou anaweza kusoma mchezo na kubadilisha approach.
Halafu niki-recall Liverpool kawafunga Arsenal,Chelsea home na Man city kala kipigo wiki iliopita hizo zote ni timu ambazo 'ni bora kuliko sisi' nashangaa mkija hapa kujidai oh man utd should play this and that!
Matusi hayaruhusiwi...ila una haki ya kukasirika. Sio kwa bei ile mliyomnunua halafu yeye anacheza volleyball.Pako sehem panakupwita pwita sio bure wakunaji tupo humu
Halafu niki-recall Liverpool kawafunga Arsenal,Chelsea home na Man city kala kipigo wiki iliopita hizo zote ni timu ambazo 'ni bora kuliko sisi' nashangaa mkija hapa kujidai oh man utd should play this and that!
Kama mtazamo wako unataka kila mtu auangalie jinsi unavyotaka wewe usiuweke humu.With all respect, nimemuongelea Mata. Bado naamini (na huu ni mtazamo wangu) kuwa ni bora kuliko Pogba.
Ulichangia kiasi gani kwani????Matusi hayaruhusiwi...ila una haki ya kukasirika. Sio kwa bei ile mliyomnunua halafu yeye anacheza volleyball.
No nimekujibu hivyo kwakuwa nimeona umeanalyze game yote ambapo sikufika huko.Kama mtazamo wako unataka kila mtu auangalie jinsi unavyotaka wewe usiuweke humu.
Heheheheh khe khe khe khe kheeeeeeee huyo hata bure simchukui. Labda Mata asingekuwepo.Ulichangia kiasi gani kwani????
so" tukusaidie nin sasa au ndio panapwitaHeheheheh khe khe khe khe kheeeeeeee huyo hata bure simchukui. Labda Mata asingekuwepo.
Duh mkuu you need to take a chill pill. Dont sexualize kila kitu. Hebu muige basi mwenzako hapo juu (rrondo). Si kila ukitofautiana na mtu basi ukimbilie matusi na kudhalilishana.so" tukusaidie nin sasa au ndio panapwita
Pissed me off mwana usinitafutie banDuh mkuu you need to take a chill pill. Dont sexualize kila kitu. Hebu muige basi mwenzako hapo juu (rrondo). Si kila ukitofautiana na mtu basi ukimbilie matusi na kudhalilishana.
Kama nimekukera kaa kimya au jibu kistaarabu.
Dah...
MBONA MSTARI UMEPINDA??Goli letu![]()
Achana nao mkuu hao wanazinguaMBONA MSTARI UMEPINDA??