Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ingawa Draw Kwangu mimi ni Mbaya Kabisa na Wala Sina Sababu Ya Kuishangiria! Lakini Baada Ya Kukiona Kikosi Cha leo Cha Liverpool XI Niingiwa na Wasiwasi Mkubwa Wa Kupoteza Mchezo Wa Leo.... Lakini Point 1 ni Katika Hesabu pia....
 
Both teams will probably feel disappointed after this match, Manchester United because an incoherent performance prevented them from underlining their recent improvement under Jose Mourinho with a win over one of their rivals, Liverpool because failing to hold on means they have lost further ground on Chelsea in the title race. James Milner’s early penalty was cancelled out by Zlatan Ibrahimovic’s late equaliser and neither side really did enough to win it. If the top four is the target, however, a draw arguably suits Liverpool more, even though they and Tottenham are seven points behind Chelsea. Without several key players, a point moves them three clear of Manchester City in fifth place and five clear of United in sixth. Thanks for reading and emailing. Bye.
 
Kudos kwa Loserfools kwa shut down United's midfield; they did like what United did to theirs in the 1st game.

Leo Carrick na Pogba walibanwa. Ingawa I'm United is still unbeaten, 16 games in all competitions now.

[HASHTAG]#tutafikatu[/HASHTAG]
 
Bao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.

Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".
Uwe unasema na maamuzi ambayo yali-go against United...
 
Uwe unasema na maamuzi ambayo yali-go againt United...
Kubali kwanza kwamba mwamuzi alifanya kosa leo kuachia lile bao lihisabiwe. Au ni kwa sababu imekufanya kufurahia mechi suluhu?
 
3C273E3F00000578-0-image-m-38_1484502499577.jpg





In what is always one of the most eagerly-anticipated fixtures on the Premier League calendar, Manchester United host their rivals Liverpool at Old Trafford. Jose Mourinho's side enter the fixture in excellent form, having won all of their last nine fixtures in all competitions, and will be desperate to make it a perfect 10. Jurgen Klopp's Liverpool have stumbled a little since the New Year, having established themselves as the principal challengers to Chelsea at the top of the table. Join ADAM SHERGOLD for all the action from this 4pm kick-off, with updates from IAN LADYMAN and CHRIS WHEELER at the ground.
 
Kudos kwa Loserfools kwa shut down United's midfield; they did like what United did to theirs in the 1st game.

Leo Carrick na Pogba walibanwa. Ingawa I'm United is still unbeaten, 16 games in all competitions now.

[HASHTAG]#tutafikatu[/HASHTAG]

To be Honest Hapa Kwa POGBA Pana Ukweli Ambao Munajipumbaza Kwa Makusudi Kuufimbia Macho.....!
Ni Ukweli usiofichika Pogba Ni Mchezaji Wa Kiwango Cha Juu Kwa Sasa! LAKINI HUWA SHUJAA KWA VIBONDE TU!!! Munapokutana Na Timu Kubwa Yeyote POGBA huwa Kama Mrenda....

Mtu Aniprove Wrong Kuhusu POGBA kuwa Hakuonekana Ubora Wake Katika Mechi Hizi!!
vs CHELSEA (A)
vs MAN CITY (H)
vs ARSENAL (H)
vs LIVERPOOL (H &,A)

Morinho anapaswa Kumjenga Jamaa Awe na Confidence Anapokutana na Timu Kubwa.... Sio awe "MAN OF THE MATCH" kwa "RELEGATORS" tu....
 
wapendwa mashabiki wenzangu wa man utd naomba niwaambie hii timu imeiva!!bahati mbaya imechelewa kuiva uzembe tuliofanya mwanzoni mwa msimu ndio una tu cost!!!yaani vijana wanatafuta goli kwa moyo toka game linaanza mpaka refa anapuliza kipenga cha mwisho!!
Upo sahihi kabisa
Mechi za mwanzo tumepoteza point nyingi kizembe ndio maana tumeganda nafasi ya 6 muda mrefu kichizi
 
Kubali kwanza kwamba mwamuzi alifanya kosa leo kuachia lile bao lihisabiwe. Au ni kwa sababu imekufanya kufurahia mechi suluhu?
Offside?
 

Attachments

  • IMG_3579.JPG
    IMG_3579.JPG
    22.7 KB · Views: 28
Mchezo mzuri, kupata suluhu sio mbaya sana japo kushinda lilikuwa lengo kuu.

Tuendelee kushinda mechi zijazo, tuzidi kujiweka kwenye nafasi nzuri.

Bravo Lads.
 
Back
Top Bottom