Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

3C26E58B00000578-0-image-a-13_1484500612169.jpg



Paul Pogba jumped in an aerial challenge with Dejan Lovren but used his hand and was penalised by the referee
 
To be Honest Hapa Kwa POGBA Pana Ukweli Ambao Munajipumbaza Kwa Makusudi Kuufimbia Macho.....!
Ni Ukweli usiofichika Pogba Ni Mchezaji Wa Kiwango Cha Juu Kwa Sasa! LAKINI HUWA SHUJAA KWA VIBONDE TU!!! Munapokutana Na Timu Kubwa Yeyote POGBA huwa Kama Mrenda....

Mtu Aniprove Wrong Kuhusu POGBA kuwa Hakuonekana Ubora Wake Katika Mechi Hizi!!
vs CHELSEA (A)
vs MAN CITY (H)
vs ARSENAL (H)
vs LIVERPOOL (H &,A)

Morinho anapaswa Kumjenga Jamaa Awe na Confidence Anapokutana na Timu Kubwa.... Sio awe "MAN OF THE MATCH" kwa "RELEGATORS" tu....
Kwa kuwa umeandika kwa chuki na unazi mwingi, ngoja nikujibu. Pogba ana miaka 23, na ni full msimu wake wa kwanza EPL. Bado ana muda wa ku-improve. Pamoja na price tag yake; bado anahitaji ku-improve zaidi. Mtathimini msimu wa kesho.

Kule kwenye jukwaa lenu, kuna mtu mmoja (mnazi sana wa Loserfools, ambaye siku hizi simwoni) alisema Firmino ndiye Suarez mpya! Sijui kama bado mnafikiri hivyo!!
 
33 min: Ibrahimovic lines up the free-kick and manages to hammer it low and hard past the wall, as expected, but Mignolet responds superbly, diving to his right to push the ball away for a corner. That’s an excellent save. Liverpool need to calm down. They do so by dealing with the corner.

4855.jpg

Ibrahimovic shoots form the free-kick
 
Bao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.

Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".

Hivi Man United na Liver ni nani kabahatika kutoka na point 1? Bila shaka wewe utakua shabiki wa Arsenal.
 
Half-time: Manchester United 0-1 Liverpool
A flawed but engrossing first half draws to a close and Liverpool lead thanks to James Milner’s penalty, awarded thanks to a monumentally stupid handball by Paul Pogba. This isn’t over, though. Manchester United have had chances and they may well take one if they continue to open Liverpool up.

5380.jpg

Pogba’s having a mare.
 
Bao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.

Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".

Ofside gani pale? mpira ulipigwa kichwa na Fellain ukagonga mwamba, ukawa unaambaa ambaa, sasa ofside iko wapi pale???
 
48 min: Liverpool have been positive since the restart and they break menacingly here, Firmino finding Origi on the left. He cuts inside and lets rip with his right foot, only for a deflection off Jones to take his fierce drive a few yards wide. Liverpool have a corner. Will Pogba, who struggled so much in the first half, be marking Lovren?

2063.jpg

Origi’s shot blocked by Jones
 
61 min: Liverpool bring on Philippe Coutinho for Divock Origi. The Brazilian makes an instant impact after finding space on the left, dribbling inside, teasing United, prising them open with a gloriously disguised reverse pass to Firmino, who opens up his body and aims for the far corner. De Gea pushes his shot away.

1816.jpg

De Gea saves Firmino’s shot.
 
70 min: James Milner is down and in need of medical attention after Wayne Rooney went into a 50-50 challenge with boot high, stamping his studs into the Liverpool full-back’s shin. Rooney is extremely fortunate to escape without a card. Imagine if Mike Dean was reffing this game!

4194.jpg

Rooney fouls Milner.
3764.jpg

Referee Michael Oliver speaks Rooney, but no card.
 
GOAL! Manchester United 1-1 Liverpool (Ibrahimovic, 84 min)
Antonio Valencia, who might be a shade offside, lifts a cross into the Liverpool area from the right. It falls to Rooney on the left and this time he manages to squeeze a cross towards the near post, where Marouane Fellaini’s presence causes the havoc that Jose Mourinho was anticipating when he threw him on. Fellaini’s clever header, the ball brushing off his curly hair, drifts over the surprised Mignolet, but hits the bottom of the far post. No matter, though, because Valencia hoicks it back to Ibrahimovic, who brilliantly manages to steer his header over Mignolet, off the underside of the bar and over the line!

3399.jpg

Ibrahimovic heads home to rebound.
3372.jpg

And celebrates scoring the equaliser.
 
5244.jpg

Wijnaldum and Klopp in discussion after the final whistle
 
Jamaa yupo sahihi kabisa, ila ni mwamuzi msaidizi ndiye alisaidia man kusawazisha,
Hilo liko wazi kwa mwanamichezo yoyote alieangalia mpira

Mwamuzi? Hivi mbona mnajitia upofu? Yule linesman alikua kasimama palepale na Valencia alikua ajaotea. Huwa mawashangaa sana mnavyoweka chuki zenu kwenye mpira
 
Back
Top Bottom