UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Mujitahidi mshinde how? I dont know
Naona mnakaribia kufika mtaa wa 6Mujitahidi mshinde how? I dont know
Tehe keep watchingMujitahidi mshinde how? I dont know

Wee ujui unachokiengeaa....Kumbe ni rahisi sana Chelsea kutoka top 4
But isnt our hoodNaona mnakaribia kufika mtaa wa 6
But isnt our hood
Delve in a home I dont belong isn't my lifeBut you can dwell for couple of months.
Teh Teh Teh Teh...
Dua za kuku....
Licha ya kuwa bado tupo nafasi ya 6 lakini tumepunguza pengo la point na timu zilizo mbele yetu
Chelsea-Bado pengo limebaki point 13 ,Chelsea wameshinda mechi zote 5
Liverpool-Tumepunguza pengo kutoka pointi 9 hadi pointi 7
Tottenham-Tumepunguza toka point 6 hadi pointi 3
Man City-Tumepunguza toka point 9 hadi pointi 3
Arsenal-Tumepongeza kutoka pointi 10 hadi pointi 1 (Arsenal wanacheza now wakishinda pengo litabaki pointi 4)
Timu iliyopo nafasi ya 10 tulikuwa tumeizidi pointi 3 now tumeizidi pointi 12
Update baada ya mechi 20
Chelsea-Gap limebaki pointi 10
Liverpool-Gap limebaki pointi 5
Tottenham-Gap limebaki pointi 3
Man City-Gap limebaki pointi 3
Arsenal-Gap limebaki pointi 2
Timu iliyopo nafasi ya 10 tulikuwa tumeizidi pointi 3 now tumeizidi pointi 15
View attachment 454560
majanga.Ila epl is not fair apigwe Chelsea ashuke arsenal hahah![]()
yaani hongereni sana kwa matokeo mazuri yaani nilikuwa nainjoi sana, mdogo mdogo tutafikaaaaa....nilikuwa likizo, nilikuwa nawatamani sana niburudike nanyi ila mtandao ndo ulinitesa..... all the best Man U.....GGMUHappy new year wapendwa wangu wote!!!,nawapenda sanaaaaa, nimewamiss ile mbaya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yaani hongereni sana kwa matokeo mazuri yaani nilikuwa nainjoi sana, mdogo mdogo tutafikaaaaa....nilikuwa likizo, nilikuwa nawatamani sana niburudike nanyi ila mtandao ndo ulinitesa..... all the best Man U.....GGMU


happy new year to you too, vipi ulienda kuhesabiwa nini mana si kwa kupotea uko. ila karibu tena jukwaani.Happy new year wapendwa wangu wote!!!,nawapenda sanaaaaa, nimewamiss ile mbaya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yaani hongereni sana kwa matokeo mazuri yaani nilikuwa nainjoi sana, mdogo mdogo tutafikaaaaa....nilikuwa likizo, nilikuwa nawatamani sana niburudike nanyi ila mtandao ndo ulinitesa..... all the best Man U.....GGMU
Hahahhaha ulijuajeeeeee???? ...... tushaweka sensa yetu vizuri.Na wewe pia mkuu,ndio umetoka Moshi au wapi uko?![]()
Hahahhaha ulijuajeeeeee???? ...... tushaweka sensa yetu vizuri.