Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndo nlichoongea mchana ule.

Ila kwahakia msimu huu lazima Arsenal wamalize chini ya nafasi ya nne mashabiki wa Arsenal akili ziwakae sawa na huyu babu yao..!!!

Akili zikefika mwisho, Anawabembeleza kwa Big g ikifika tu dic wanaanza kulia upya baada ya utamu kukata...!!
 
Mashabiki wa arsenal wanajifahamu na wenger wao.
Hao sio level zetu kabisa.
 
Mwenye kuujua Uzi wa Chelsea humu ndani aniwekee hapa nione wanachojadili recently
 
game ya leo Tot atampiga chelsea kutokana form nzuri waliyokua nayo kwenye mechi 3 zilizopita ambapo Harry Kane na Delle Alli wamewanyanyasa ipasavyo wapinzani.Kwahiyo Chelsea leo asipokua makini anafungwa pale White hate lane hii itafufua matumaini yetu ya kuchukua ubingwa kwa mara nyingine toka mwaka 2013..God bless Man u
mkuu nimekukubali na nakubali sana mchango wako kwenye thread hii ya wana man u big up kwa utabiri
 
626c3731a0bd92edd7ce5b90e38b92c5.jpg
 
Back
Top Bottom