Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Najua. Ila mimi naongelea malengo ya mwisho wa msimu.
Lengo langu ni kupunguza tofauti ya points zetu na yule wa kwanza.
Bado nina ndoto za ubingwa.
Tottenham hatunyimi usingizi, atarudi nafasi yake muda si mrefu.
Na tunaweza kufika nafasi ya 3 ndani ya mechi 2.
Man City mwenyewe hayupo vizuri achilia mbali vilaza Arsenal.
Nimekuwa nikiwaambia watu itakuwa advantage kubwa sana Chelsea akupigwa na Tots, haijalishi Tots watatuacha point ngapi, cha msingi ni kuwa kati yetu na aliyeko nafasi ya nne na tano itakuwa 3pts na 2pts respectively, na 5pts toka nafasi ya pili. Hivyo kwa sasa ingekuwa nzuri zaidi tukianza kumfukuzia kimya kimya Yule Wa juu. Mimi bado naamini Chelsea anaweza kuteleza na asiwe bingwa. So tunachopasqa kufanya ni kuwa pale karibu ili anapoteleza sisi tunashtua kijoti joti.