kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
Sisi tunataka ubigwa siyo nafasi ya Spurs. Tunamtaka aliyeko juu, Spurs kafanya kazi yake vizuri kabisa.Ushindi wa Toti ni mwiba mkali sana kwa man u ...najua wengi mnajua iloo
Sisi tunataka ubigwa siyo nafasi ya Spurs. Tunamtaka aliyeko juu, Spurs kafanya kazi yake vizuri kabisa.Ushindi wa Toti ni mwiba mkali sana kwa man u ...najua wengi mnajua iloo
Ilo suala la ubingwa lifute kwenye akili yako mkuu ..wazia nafasi ya kucheza uefa mwakaniSisi tunataka ubigwa siyo nafasi ya Spurs. Tunamtaka aliyeko juu, Spurs kafanya kazi yake vizuri kabisa.
Tatizo ni kwamba hawakamatikiii sasaaTotenham tutawakamata tu, as a matter of time
Jamaa wanajua SANAMkuu umewaza kama mimi kuhusu combo ya mata na mikhi. Tatizo sie hatuchezi mpira wa kushambulia kwa kumiliki mpira,na ukilitaka hilo mikhi,mata na herrera wanafaa kwenye mfumo. Lakini mou anaweka winga kwa ajili ya kukaba zaidi,na mbaya zaidi hata kwa timu ndogo na mbovu,mbinu haibadiliki. Binafsi naona pogba namba kumi haimpendeza kuliko wazza,mata na mikhi.
Kwa nini nilifute wakati timu yangu inaimalika siku hadi siku?Ilo suala la ubingwa lifute kwenye akili yako mkuu ..wazia nafasi ya kucheza uefa mwakani
Huyu ndugu yetu ye anaenda wapi mbona anatiririka tu
![]()
![]()
Mpk muimarikee mtakuwa mmeachwa mbali sana.Kwa nini nilifute wakati timu yangu inaimalika siku hadi siku?
Ushindi wa Toti ni mwiba mkali sana kwa man u ...najua wengi mnajua iloo
Mpk muimarikee mtakuwa mmeachwa mbali sana.
Mkuu nani anatuacha wakati nyie wote mnatusubiri kwa sasa.Mpk muimarikee mtakuwa mmeachwa mbali sana.
Chelsea kutoka top 4 itakuwa ni ngumu sana kama Manchester kuingia top 4 ...kumbuka hili mkuu ohoooAcha kelele na hiyo timu yenu ya kubahatisha. Chelsea inaweza kumalza nje ya top 4. Timu ya ovyo sana.
Kile ambacho unakiwaza wewe kuhusu kushinda na ndo sisi ambacho tunakiwaza. Kwa hiyo itakuwa ngumu sana kutoka apo ulipo mkuu.Mkuu nani anatuacha wakati nyie wote mnatusubiri kwa sasa.
Gap ni
10 points kutoka kwa chelsea
5 points kutoka kwa liverpool
3 points kutoka kwa spurs na city
2 points kutoka kwa arsenal.
Sasa fikiria tulikotoka, yunawakuta hapo mlipo mapema mno
Umesahau vile vinne nin ...Naona leo mmegeuzwa viwili vya haraka.
Mechi ya liver ni muhimu sana kupata 3 points,ili kuendeleza hesabuMkuu nani anatuacha wakati nyie wote mnatusubiri kwa sasa.
Gap ni
10 points kutoka kwa chelsea
5 points kutoka kwa liverpool
3 points kutoka kwa spurs na city
2 points kutoka kwa arsenal.
Sasa fikiria tulikotoka, yunawakuta hapo mlipo mapema mno
Chelsea kutoka top 4 itakuwa ni ngumu sana kama Manchester kuingia top 4 ...kumbuka hili mkuu ohooo
You wish bro!Kumbe ni rahisi sana Chelsea kutoka top 4
Khe khe khe khe khe khe khe.....watu wabunifu sana, hao washabiki balaa...wenger,mourinho,klopp,guardiola duhh!
kumbe na wewe Man u , karibu sana.We have to win against Liverpool next week if we are to go up from 6th position.