msocial
Member
- Dec 16, 2016
- 78
- 42
Fella-who-out?!msemakweli ni dakika 90 kuanzia saa 2.15 usiku leo.
![]()
huyo big fella toa kabisa hata benchi hafaiFella-who-out?!msemakweli ni dakika 90 kuanzia saa 2.15 usiku leo.
![]()
huyo big fella toa kabisa hata benchi hafaiNaona mtamaliza ligi unbeaten from now on...............Yani Spurs ampunguze chelsea nyie mnaota??
Hilo ndio tunalowaza na kufanyaNaona mtamaliza ligi unbeaten from now on...............
Tushinde game ya leo.
Spurs ampunguze Chelsea, hapo tofauti itabaki points 10.
Halafu tuombe tusiwe na majeruhi hadi jan 15 tutakapokutana na Liverpool.
Kwema mkuu? Heri ya mwaka mpya.Hilo ndio tunalowaza na kufanya
Kwema kabisa mkuu.....Kwema mkuu? Heri ya mwaka mpya.
All the best.Hilo ndio tunalowaza na kufanya
Asante na kwako pia mkuu.....All the best.
Kampigie kura Giroud hukoo... Unapenda kuzururaga sana huku ila ndo kijiwe kinachokukonga moyo wako.Jiunge na Fa

Asante...Kwema kabisa mkuu.....
Asante nawe pia mkuu..
Kampigie kura Giroud hukoo... Unapenda kuzururaga sana huku ila ndo kijiwe kinachokukonga moyo wako.![]()



United ni timu ya kupigania ubingwa miaka yote sio wasindikizaji kama nyie
Wewe ulishasema Ibrahimovic ni mzee hawezi kufikisha magoli 10 so sikushangaiKwahiyo Unawaaminisha Fanboys Wenzio Kuwa Unamfukuzia Anayekuongoza Kwa Points 13?
Jamaa mzushi sana.. Haijui familia ya GGMU ilivyothabiti
And toa rashford weka Mikhimsemakweli ni dakika 90 kuanzia saa 2.15 usiku leo.
![]()
Swadaktaar, utd hatuamini katika kushindwaKwahiyo Unawaaminisha Fanboys Wenzio Kuwa Unamfukuzia Anayekuongoza Kwa Points 13?
Hapa kwa sasa Chelsea ampunguze spurs naona ndo muhimuTushinde game ya leo.
Spurs ampunguze Chelsea, hapo tofauti itabaki points 10.
Halafu tuombe tusiwe na majeruhi hadi jan 15 tutakapokutana na Liverpool.
Asante kwa kumkumbusha maana hawa watu kujisahaulisha hawajambo.Wewe ulishasema Ibrahimovic ni mzee hawezi kufikisha magoli 10 so sikushangai