Wewe ulishasema Ibrahimovic ni mzee hawezi kufikisha magoli 10 so sikushangai
Gem saa ngap mkuuHere we go Lads
![]()
Here we go Lads
![]()
Saa 2:15 usiku wa leo.Gem saa ngap mkuu
20:15 mkuu yaani saa mbili na roboGem saa ngap mkuu
Hahaa mkuu huko uliko inaonekana mnakalia mikekekaNgoja niwahi seat kabisa.
Ooo poa mkuu wacha nijiandae kabisa20:15 mkuu yaani saa mbili na robo
Wahi seatOoo poa mkuu wacha nijiandae kabisa
Martial alikuwa vizuri last game sijajua why haanzi leo