tukiendelea hivi furaha hatakauka kwetu.Matumaini yanaonekana..
Hope tutamaliza top4, so next season tutakua na mashindano mengi include UCL so Griezman ni muhimu akija asaidiane na Cadabra pale mbele, Rashfod naye atapata minutes za kucheza nyingi tu, kumbuka kuna injuryNoo, sikuwa na maana ya kumtegemea Rashford, ukisoma kwenye hyo article inasema mou anaweza aka bid kwenye majira ya joto wakati huo huo zlatan anaongeza mkataba wa mwaka mmoja it means bado tutakua na zlatan + Rashford as our strikers, ikitokea zlatan akaondoka sitakua na tatzo na usajili wa griz but kwa sasa mi sioni umuhimu wa huyu jamaa kwetu.
Rojo anapiga sana saiz, ....Naona kama kuna kila dalili za Smalling kunyang'anywa namba na Rojo.
Afanye sana zoezSio dalili ni tayari, Smalling anazubaa sana.
Nadhan nayo n sababuKwa msimu huu naona Smalling kiwango kipo chini. Au sababu ya majeruhi?
Rooney haondok atastafia OTSmalling asipoangalia huenda huu ukawa msimu wake wa mwisho kuchezea United,Mourinho alitaka kusajili CB (Fonte,Lindelof) lakini viwango vilivyoonyeshwa na Jones & Rojo vimefanya aachane na huo mpango hadi mwisho wa msimu.Iko wazi kuwa mwisho wa msimu Mourinho atasajili CB na RB na wachezaji watakaondoka ni (Depay,Schneiderlin hawa wanaondoka hii January Bastian,Darmian,Young hawa wataondoka mwisho wa msimu ningependa Rooney naye aondoke msimu ujao .Ibrahimovic,Carrick watakuwepo msimu ujao
kutegemea kitoto kweny ligi za watu wazima ni wendawazimuUwezi kumtegemea Rashford,ana miaka 19. Lazima tuwe na mtu mwenye uhakika na uzoefu.
Tutafika tuLicha ya kuwa bado tupo nafasi ya 6 lakini tumepunguza pengo la point na timu zilizo mbele yetu
Chelsea-Bado pengo limebaki point 13 ,Chelsea wameshinda mechi zote 5
Liverpool-Tumepunguza pengo kutoka pointi 9 hadi pointi 7
Tottenham-Tumepunguza toka point 6 hadi pointi 3
Man City-Tumepunguza toka point 9 hadi pointi 3
Arsenal-Tumepongeza kutoka pointi 10 hadi pointi 1 (Arsenal wanacheza now wakishinda pengo litabaki pointi 4)
Timu iliyopo nafasi ya 10 tulikuwa tumeizidi pointi 3 now tumeizidi pointi 12
I had the same dought... FA???Kwann ratiba ya spurs iwe inachezwa baada ya cc kucheza
Hakuna guarantee ya Rooney kustaafu OT bado ana miaka kama 3/4 ya kucheza kwa sasa hawezi kuwa kikosi cha kwanza so inategemea kama ataendelea kukubali kukaa benchi na pia atakuwa na pressure kutoka timu nyingine hasa MLS & CHINA(hawezi kwenda)Rooney haondok atastafia OT
Match ya leo Carrick kuna possibility ya kuwepo kwenye kikosi kitachoanza?
Match ya leo Carrick kuna possibility ya kuwepo kwenye kikosi kitachoanza?
I'm happy Carrick is back, game ya leo inaitaji umakini wa hali ya juu, Westham uwa wanakua wagumu sana kwetu.
I wish Carrick aanze leo, kwa sasa hatutakiwi kushindwa wala kutoa sare.Kikosi kilichoenda London.
*Confirmed United squad members*
De Gea
Romero
Johnstone
Fosu-Mensah
Valencia
Darmian
Smalling
Jones
Rojo
Herrera
Carrick
Pogba
Fellaini
Young
Mata
Lingard
Mkhitaryan
Martial
Ibrahimovic
Rashford
Mkuu hebu nifahamishe kidogo kuhusu Rooney..anashida gani??Kikosi kilichoenda London.
*Confirmed United squad members*
De Gea
Romero
Johnstone
Fosu-Mensah
Valencia
Darmian
Smalling
Jones
Rojo
Herrera
Carrick
Pogba
Fellaini
Young
Mata
Lingard
Mkhitaryan
Martial
Ibrahimovic
Rashford
I wish Carrick aanze leo, kwa sasa hatutakiwi kushindwa wala kutoa sare.