Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tushinde game ya leo.

Spurs ampunguze Chelsea, hapo tofauti itabaki points 10.

Halafu tuombe tusiwe na majeruhi hadi jan 15 tutakapokutana na Liverpool.
 
Tukishinda mechi y Leo pressure inakuwa kwa walio juu!

Na Waliojuu Wakishinda Pressure itakuwa Kwa Nani??

Kwa Ushauri tu iangalie Fixture Yenu Ya December Kwa Makini ikisha Ujijibu Uwezo (Vibonde) Wa Hizo Timu Ulizocheza Nazo...
 
Tushinde game ya leo.

Spurs ampunguze Chelsea, hapo tofauti itabaki points 10.

Halafu tuombe tusiwe na majeruhi hadi jan 15 tutakapokutana na Liverpool.

Halafu Hiyo Tarehe 15 Kizuri Zaidi Liverpool Ana Majeruhi Wengi (Coutinho, Matip, Henderson na Sturridge), Na Sadio Mane Yupo Africa...
Kwahiyo Mutampiga Liverpool Kiulaini Kabisa...
 
KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA MIKHYTARYAN:

PELE : goal alilofunga huyu bwana mdogo Mikhitaryan halita fungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa miaka 17... wapo wataka kujaribu kwa kutaka sifa ila wataishia mahali fulani zaidi watajidhalilisha tu kwa kuiba idea ya dogo.

DIEGO COSTA : Baada ya kulitazama tu lile goal la Mikhy.. Nikampigia Eden Hazard simu aje mazoezini.. Alipofika amenipigia krosi mipira elf 2 tena nikiwa bila kipa.. Nasema nikimuogopa Mungu. Nimeshindwa kufanya alichofanya Mikhitaryan..

LIONEL MESSI : Watu wanasema mimi ni kiumbe wa sayari nyingine.. Lakini baada ya kulitazama goal la Henrikh Mikhitaryan, .. Naanza kuamini, huenda Henrikh tunatoka naye sayari moja..

MALKIA ELIZABETH : Leo ni boxing day Kama kesho kusingekuwa na mechi za ligi kuu. Ningeamuru waziri mkuu atangaze iwe siku ya mapumziko.. Ili watu watulie majumbani mwao. Kuangalia marudio ya goal la Mikhitaryan..

CHRISTIANO RONALDO :. Kama Henrikh angefunga hili goal kabla sijakabidhiwa Ballon dour.. Nisingethubutu kupata ujasiri wakuipokea ile tuzo..

ANTHONY LUSEKELO: Mungu amenijalia upako wa kutenda miujiza tofauti chini ya mbingu .. Lakini sio kama ile aliyoifanya Mikhitaryan

OLIVER GIROUD: At least mimi nnimejaribu kufunga kama Micky, mpira ulivyokuja nilijitahidi sana kukumbuka mikhitaryan alifanyaje namshukuru Mungu nimepata maumivu kidogo tu kwenye kiuno ila sidhan kama nitakuja kujaribu tena. Nimekuwa inspired sana na lile goal la mikhytaryani ingawa wapo waliosema ni offside ila mimi nilijifunza ivoivo.

ARSSENE WENGER: Nilikuwa naona kabla ya kuanza mazoezi na baada ya mazoezi wanabaki wanabaki yeye na Alex wanapigiana mipira kujaribu alichokifanya micky siku ya boxing. Nilijaribu kuwaonya mara kazaa jinsi walivyokuwa wanajirusha maana ilikuwa ni hatari kwa afya zao na timu. Ila leo amejaribu sio mbaya ila nitaongea nae umri wake saiv hauendani kufanya vitu vile.

ALEXIS SANCHEZ: Tunamshuru sana Mikhitaryan ametuletea mchezo mtamu sana. Tukiwa kambini usiku tunakesha kuangalia video zake za ufungaji na kujifunza kitu kizuri. Tunashukuru amekuja epl naamini wengi tutajifunza mengi kutoka kwake.

JOSE MOURINHO: Swali zuri sana ila sipendi sana kuvizungumzia vitu tulivyovifanya mwaka uliopita 2016. Kila mwaka tunajitahidi kuja na vitu ambavyo ni special dunia inapenda kuona vitu vipya vikitokea na sio copy and paste.

MARIO BALOTEL: ile Mkhitaryan Style alioipiga Girioud na kufunga goli ilikuwa tamu sana

WADAU MBALI MBALI MITANDAONI: Nadhani kupitia picha hizi tumeweza kujua lipi ni real scorpion. Pole sana Giroud asante kwa kujaribu...!
FB_IMG_1483352521284.jpg
 
Napata mashaka juu ya spurs hapa hakuna mchezo mchafu kweli???
Napata mashaka juu ya spurs hapa hakuna mchezo mchafu kweli???
Kucheza mwanzo ni advantage. Ukicheza baada ya mwenzio unakuwa under pressure. Hakuna mchezo mchafu hapo msiwe na mawazo kama wapinzani wetu ambao mpaka leo wanaamini Man utd ilikuwa inabebwa.
 
Kucheza mwanzo ni advantage. Ukicheza baada ya mwenzio unakuwa under pressure. Hakuna mchezo mchafu hapo msiwe na mawazo kama wapinzani wetu ambao mpaka leo wanaamini Man utd ilikuwa inabebwa.
Sawa mkuu prondo nmekuelewa
 
Tushinde game ya leo.

Spurs ampunguze Chelsea, hapo tofauti itabaki points 10.

Halafu tuombe tusiwe na majeruhi hadi jan 15 tutakapokutana na Liverpool.
Yani Spurs ampunguze chelsea nyie mnaota??
 
Back
Top Bottom