Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hawa west ham walituaribia msimu uliopita . hope leo tutalipiza
Mwamuzi tayari amewasaidia kwa kumtoa kwa kadi nyekundu kijana wa WH.
Kwa kweli amenikera sana huyu mwamuzi kwa kuiharibu hii mechi.
Hii ilikuwa ndio mechi ya Man. disUnited kujipima kama ina ubavu wa kutoa upinzani kwenye msimu huu wa EP.
 
Watu wengi hawajui
1.sometimes ni ngumu kucheza against ten men than against eleven.
2.ni ngumu kucheza mechi nyingine baada ya 48hrs only.

Obviously Mou amewaambia wasilazimishe mpaka dakika ya 60 hivi hapo ndio utaona tofauti ya watu kumi vs kumi na moja.
 
Tumecheza vizuri so far, ila jamaa wamekaba sana so inahitajika creativity kidogo ili tuipenye ngome yao.. toa lingard ingiza mata/martial then toa darmian ingiza beki inayoshambulia zaidi.. GGMU
 
Tunakosa ubunifu kule mbele nadhani..Mata,Martial au Rashford mmoja wapo anaweza kubadili matokeo..watoke lingard na Damian.
 
natamani man washinde ila asilimia kubwa ni sare au apakatwe maurinyo
 
Watu wengi hawajui
1.sometimes ni ngumu kucheza against ten men than against eleven.
2.ni ngumu kucheza mechi nyingine baada ya 48hrs only.

Obviously Mou amewaambia wasilazimishe mpaka dakika ya 60 hivi hapo ndio utaona tofauti ya watu kumi vs kumi na moja.
Nilisema subirini dakika ya 60.
 
Back
Top Bottom