
Goli la ofside lilee. .mnabebwa tu amnaa kituuu100% off side, but haibadilishi matokeo mkuu, 3-1
Sasa kama nmesema ukwelii ....ngoja Europa itaongeaaa tyuu.We jamaa unaonekana utakuja kuwa dingi mmoja mnoko sana kama sio mchawi uzeeni mwako.
Sasa kama nmesema ukwelii ....ngoja Europa itaongeaaa tyuu.
Goli la ofside lilee. .mnabebwa tu amnaa kituuu
Kawaida enu kununua mechi mkuu ...tumebebwa vipi.acha tabia za kishirikina dogo
Do me a favour man, naomba usini qouteGoli la ofside lilee. .mnabebwa tu amnaa kituuu
Unataka mtoto wa miaka 18 awe straika wako namba moja?
Unataka ufafanuzi ama?sasa mnashinda alafu amwendi popote ...si bora msishinde tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tukshinda mechin 4 mfululizo tunakuwa wa 2.
Wakuu nipeni ufafanuzi kidogo gori la mikhitarian sio offside ile kweli..??
![]()
Baada ya game mbili zijazo,njoo urudie kauli yako bila aibu mkuu. Kwa sasa mou and the boys wamewashika kende,mnakosa la kusema.sasa mnashinda alafu amwendi popote ...si bora msishinde tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona depay kacheza chini ya lvg lakini hakuonyesha lolote la maana ngwaba? Au kwa kuwa ni mourinho?Sikumaanisha Hivyo Mkuu!! Namaanisha Kuwa Mourinho Anaendeleza Falsafa Yake Ya Kuwapoteza Vijana Hasa Pale Ninapomuangalia Very Talented Boy Anthony Martial na Depay Wanapopoteza Ndoto Zao...
Manake Mchezaji Kipaji Aliyekuwa Na Ndoto Za Kucheza One of the Top Club in Europe Halafu Akaishia Everton ni Ridiculous.....
Ndiyo Mana Nikasema Rashford Naye Huyo....
1.Kufanikiwa kwenye football unapaswa ku-work hard kuwa na kipaji peke sio sababu ya wewe kufanikiwa,Ndio maana Henderson ni nahodha wa Liverpool,CR7 hana kipaji sana lakini hard work ndio imemfanya anaendelea kuwa mchezaji bora hadi leo kuwashinda wengi wenye vipajiSikumaanisha Hivyo Mkuu!! Namaanisha Kuwa Mourinho Anaendeleza Falsafa Yake Ya Kuwapoteza Vijana Hasa Pale Ninapomuangalia Very Talented Boy Anthony Martial na Depay Wanapopoteza Ndoto Zao...
Manake Mchezaji Kipaji Aliyekuwa Na Ndoto Za Kucheza One of the Top Club in Europe Halafu Akaishia Everton ni Ridiculous.....
Ndiyo Mana Nikasema Rashford Naye Huyo....
Sikumaanisha Hivyo Mkuu!! Namaanisha Kuwa Mourinho Anaendeleza Falsafa Yake Ya Kuwapoteza Vijana Hasa Pale Ninapomuangalia Very Talented Boy Anthony Martial na Depay Wanapopoteza Ndoto Zao...
Manake Mchezaji Kipaji Aliyekuwa Na Ndoto Za Kucheza One of the Top Club in Europe Halafu Akaishia Everton ni Ridiculous.....
Ndiyo Mana Nikasema Rashford Naye Huyo....
Timu imeanza kufanya vizuri wapinzani hawakosi la kuongeaMbona depay kacheza chini ya lvg lakini hakuonyesha lolote la maana ngwaba? Au kwa kuwa ni mourinho?