Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sikumaanisha Hivyo Mkuu!! Namaanisha Kuwa Mourinho Anaendeleza Falsafa Yake Ya Kuwapoteza Vijana Hasa Pale Ninapomuangalia Very Talented Boy Anthony Martial na Depay Wanapopoteza Ndoto Zao...
Manake Mchezaji Kipaji Aliyekuwa Na Ndoto Za Kucheza One of the Top Club in Europe Halafu Akaishia Everton ni Ridiculous.....
Ndiyo Mana Nikasema Rashford Naye Huyo....
Memphis alishapewa sana chance toka kipindi cha van gaal lakini akashindwa kutetea namba, sasa kwann tumlaumu jose kwa hili wakati kaja kishamkuta dogo kaflop na dogo haoneshi kupigania nafasi yake.

Martial alikua ndio mchezaji wetu bora msimu uliopita ukiachana na dave na still bado ni mchezaji bora hata sasa. Kipindi tunaanza msimu dogo alikua na matatzo yake ya kifamilia ambayo yalimuathiri hadi ndani ya uwanja, kasolve matatzo yake but still sio martial yule wa msimu uliopita japo sikubaliani na suala la kuwekwa benchi na lingard.

Kuhusu Rashford yule bado mtoto ana mengi ya kujifunza na ni kosa mtoto mdgo vile kumfanya ndio tegemeo la timu, angalia ihenacho man city japo Aguero hayupo lakini dogo haanzi ndio tuseme kwamba kiwango chake kimeshuka au pep anamharibu?

Pia jaribuni kuangalia hata timu zingine sio kila kitu manchester, Batshuayi kanunuliwa na conte lakini hadi sasa haanzi licha ya kwamba Costa hayupo, mbona huyo hamuulizi au sababu sio manchester? Angekua jose ndio anafanya hivo mngesema anaua vipaji, sijawahi waona mna question gharama ya back line ya man city, more than 100 mill pound zimetumika, john stone, sane ni kinda waliochukuliwa kwa hela nyingi mno but they are doing nothing pale man city but never heard anything bad about them, WHY? simply because was not Mourinho who signed them.
 
Kila mtu anaitazama Man United.
 
Kila mtu anaitazama Man United.
Watu ni wa ajabu sana mkuu, kuna timu zinafanya hovyo, kuna talents nyingi zinapotea huko nje, lakini as long as sio sehemu ya manchester basi hawana shida nazo, kitu kidgo tu kikitokea manchester basi ni stori ya dunia.

Waliongea sana oooh mata lazima auzwe cha ajabu soon mata ataongeza mkataba miaka minne, alipokuja Zlatan oooh mzee so far ana goli 12 goli moja nyuma ya costa, yaani kila kitu mou atakacho kifanya basi ni tatzo, sasa wanataka Rashford amuweke benchi Zlatan, yaani zlatan awe anamuangalia Rashford anachofanya uwanjan then nae ndio aje afanye hivo HAHAHAAAA. Hawa watu wanatofauti gani na moyes aliyesema akina vidic na rio waangalie cd za jagielka ili wajifunze kitu
 
Duh! Lingard Mbele Ya Martial??? Hata Jamhuri Kiwelu Hawezi Mueka Benchi Martial Akamchezesha Lingard aliyekuwa Hana sign Yoyote Ya Improvement.......
Mbona hushangai timu yako Henderson na Milner ndio makapteni ?
 
First, its was just sunderland!! we need to chill a little bit and dont go overboard.
Second, we had to get like 6 or 7 goals we missed alot of chances ni kama nilimkumbuka van nisterlooy.

Third, we played very well in the second half, everything was perfect ki ukweli nadhani Mikhi/Zlatan/Martial ndio inatakiwa wawe wana anza nadhan lingard is garbage.

Fourth, tukiendelea hivi, we can at least think about competing for top four.
All in all it was a decent game.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Sikupata tabu wakati wanamponda mou,Pogba na ibra nilijua it's just a matter of time well done Lads
 
Hongereni kwa offside goli...!

Ni sawa na kutumia viagra halafu unajisifu una nguvu za kiume.
 
First, its was just sunderland!! we need to chill a little bit and dont go overboard.
Second, we had to get like 6 or 7 goals we missed alot of chances ni kama nilimkumbuka van nisterlooy.

Third, we played very well in the second half, everything was perfect ki ukweli nadhani Mikhi/Zlatan/Martial ndio inatakiwa wawe wana anza nadhan lingard is garbage.

Fourth, tukiendelea hivi, we can at least think about competing for top four.
All in all it was a decent game.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Top five may be possible.

Mwisho wa msimu;

1. Chelsea
2. Man city
3. Liverpool
4. Arsenal
5. Tottenham
6. Man utd
 
First, its was just sunderland!! we need to chill a little bit and dont go overboard.
Second, we had to get like 6 or 7 goals we missed alot of chances ni kama nilimkumbuka van nisterlooy.

Third, we played very well in the second half, everything was perfect ki ukweli nadhani Mikhi/Zlatan/Martial ndio inatakiwa wawe wana anza nadhan lingard is garbage.

Fourth, tukiendelea hivi, we can at least think about competing for top four.
All in all it was a decent game.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Is Lingard a garbage?

Ucha kuongea upuuzi. Kutokua sawa mecho moja unamuita garbage?

Angekuwa garbage angeshatolewa kwa mkopo au kuuzwa.

Nasubiri umuite na Rashford garbage.
 
Ni mawazo yako
Tukizungumzia kuuzwa mbona fellaini hauzwi!! Je ni mchezaji mzuri!!?
Kwa mawazo yangu he isnt as good as how you see.
Its okey pia
 
Back
Top Bottom