Manchester United (Red Devils) | Special Thread

,So far 80% ya first eleven yake inafahamika sema majeruhi ndio yanafanya huwezi iona kama wachezaji wote wakiwa fit hao bolded wataanza
1.De Gea
2.Valencia
3.Shaw/
Darmian
4.Bailly/Jones
5.Smalling/Rojo
6.Herrera/Carrick
7.Martial/Lingard
8.Pogba
9.Ibrahimovic

10.Mata/Rooney
11.Rashford
 
umenichekesha sana, ndugu yangu Hata Mimi Najua kuivumilia ndoa aiseee nadundwa but saaahiyo hiyo nasema come over baby I love you !!!!!....
 

Naomba ni kuulize, kinacho kufanya useme utd ita baunse back ni nini!!? Chelsea ana cheza vizuri lakini kama aliye mpita point 3 unasema ana struggle ni jambo la kushangaza. Yaan timu inayo fanya vibaya imepitwa point 4 na anaye fanya vizuri!! Haiwezekani. So timu nyingine ziko vizuri, na hata kama haziko vzuri si kama United ambayo haionekani kuwa sawa.

Hao hao mabeki unao wasema LvG alicheza nao na akaingia top four, akawa wa tano na akawa bingwa wa FA, na ukumbuke LVG hakuweza kuwanunua watu kama Mikhi, Pogba na Zlatan. LvG akiwahi kuwa na beki ya Rojo, fosu mensah, Love na Blind itwas worse than this, Rekodi ya LVG si mbaya kias useme Mou ali ikuta timu iko kwenye dimbwi la kufeli. Unajua Arsenal ili ipita point ngapi man utd ya LvG? Point 5, unajua tot iliipta point ngap man utd 4. Man city ilitupita magoli, liverpoool tulimpita point 10,
Sasa kama timu hizo zote zina struggle now masuala ya kupitwa point 6-10 yana ashiria nini zaidi ya sisi kushuka? Mou alikuwa na kaz ndogo tu ya kuichukua timu toka ilipo kuwa na kuifanya ipambane zaid. Na si ishuke zaid alipo tuacha LvG yeye karudi nyuma hatua 5.

Mourinho alijua atakuwa kocha toka mwezi wa 4 mi namfaham Mou angejua timu yote mbovu angenunua hata wachezaj sita, kwa sasa hana la kujitetea kwa kuwa ali ridhia usajili alo fanya ambao hau work, na aka tuaminisha kuwa tutapigania ubingwa.

Mourinho mara ya mwisho kufanya sub iliyoleta impact kwenye timu ni mwezi wa 8 against Hull, ila baada ya hapo sub zake ni za hovyo, na si wachezaji wabaya ila hajui nani aingie wakat gani. Ana chezesha wachezaji sehem hawastahili kama juzi pogba, ana mchezesha Darmian left wakat Blind yupo. Tatizo kubwa haliko kwenye beki liko kwenye kushambulia, utapigaje shots 37 halafu hata goli moja hufungi, utapigaje shots 12 unafunga goli moja!!, this means tatizo lipo lakini kocha kashibdwa kulifanyia ufumbuzi.

Wachezaj walaumiwe? Yes hawakosi kwenye lawama ila namba 1 kocha.

Kocha najua atapewa muda, apewe na pesa asajili tena tuone kitatokea nin.
 
Eeeeeeehhh mbona hukuniiita...
 

Hata Bailly alipo kuwepo hatukupata matokeo mazuri.

Morinho alivo sajili hao wa 4 yeye ndio alisema inatosha, sasa wewe unaifaham midifeld ya westbrom!!? Pamoja na ubovu wetu wote haiwezekani tuwe tunafukuzana na kina Igalo wa watford na kina kanu wa westbrom. Mourinho hapo hana la kujitetea, tena ukitaka kuangalia Midfielders wamejitahidi kuliko kipande kongine chochote pale man utd.
Umesema Miki ameshuka kiwango, wa vipi, wakati ndio MOTM kwenye mechi mbilo za mwisho man utd.

Makosa yetu ni yale yale
Tunafungwa mwanzoni
Tunafungwa mwishoni
Katikati hapo tunacheza hatu convert magoli. Na nimekosa yaliyo jirudia kwenye mechi 11 mfululizo huku kocha akiwa ana sinzia tuu.
 
Ki ufupi tu ni hatuna kikosi cha kwanza.
Na mechi karibu zoteee watu wana badilika
 
Nilichogundua ni kwamba kumbe hapa hatuongelei uhalisia wa hali ilivyo.

Point yangu kubwa kwa Chelsea kufanya vzr ni sbbu km zifuatazo.

LFC na Gunners hawa wote waliifunga Chelsea na wakachukua points zote 3 kwa tatu kwanini Leo hii Chelsea yuko juu yao kwa kuwazidi alama 3 kwa 4? Ukishapata jibu utaelewa kile ninachoongelea.

Chelsea tangu kafungwa hovyo Na Gunners Na LFC walikataa kupoteza michezo hovyo tena unaweza kuona ni michezo mingapi iliyofata wameshinda yote?

Na kwanini timu km LFC na city ktk michezo hiyo zimefanya vibaya? Angalau kidogo Gunners wako serious wakiifuata Chelsea. Ukipata jibu ktk hili ndio utaelewa kua timu zote zina struggle km Utd.

Isingekua rahisi Mourinho kuifumua timu yote kwa ujumla Na kuanza Na wachezaji wapya. Lkn bado naamini LvG angeweza kufanya vzr kwasababu huyu aliifumua timu yote Na kuanza kuweka mfumo autakao hapo OT lkn kwasababu ya uongozi Wa Utd kuona Jose yuko huru wanapenda kufanya nae kz. Lkn tayari wachezaji Na timu chini ya LvG ilikuta imeanza kuimarika.

Naweza kukubaliana Na wewe kua tatizo ni ufungaji lkn km injini ya timu iko hoi Basi ufungaji utakua butu Na uzuiaji utakua butu pia.

Kwa kifupi matatizo ya Utd wachezaji hawajitumi Na viwango vyao haviongozeki au kukua mpk kufikia squad ya SAF. Hakuna. Hii Utd kila nikiitazama sioni kabisa ule uwezo Wa wachezaji km waliokua nao enzi za SAF.

Tuongee kwa uhalisia mkuu Na si kukosoa tu kwasababu labda hatumpendi kocha.

Utd matatizo yao ni wachezaji kwanza then kocha badae.
 
Sawa Ntunzu wewe unamuelewa mourinho lakini sio kwa ligi ile emb apewe vilago atafute pakutulia pale England pamesha mshinda
Seriouslyyyy!!!!! ...... aiseee nadhani ungefurahi zaidi kubaki ili tuzidi kushindwa basi kama ni hivyo Mou anasomething positive ambayo ninyi wanaepl hamtaki awepo, siyo fan wa Mou but as our boss I support him....
 
Ki ufupi tu ni hatuna kikosi cha kwanza.
Na mechi karibu zoteee watu wana badilika
Nimeandika hapo kabla almost 80% ya kikosi cha kwanza cha Mourinho inajulikana (DDG,Valencia,Shaw,Bailly,Smalling,Herrera,Pogba,Martial,Ibrahimovic) siku ambazo wamekosa game ni kadi,majeruhi au aina ya mshindano ) ,huwezi kuona sababu ya majeruhi defence karibu yote ilipata majeruhi (Valencia,Shaw,Smalling,Jones,Bailly ) wote wameshapata majeruhi msimu huu.Then kubadilisha kikosi sio tatizo kocha anapanga kikosi kutokana na opponent ,majeruhi ,competition na kadi even SAF moja ya sifa yake kubwa ni kupanga lineup kutokana na opponent kama tungeshinda hizo game hakuna mtu angelalamika hatuna kikosi cha kwanza
 

Maswali yako haya toi picha unayo ionesha, ligi ndio ilivo ukimfunga mtu hau gurantee kumpita kwa jumla, mbona tottnham kamfunga city lakin kapitwa 3!! Jibu ni kwamba it happens, na it doesnt mean anything, tuangalie kwa ujumla kuwa Chelsea wanaongoza point 3, wakati wao walifungwa na arsenal na liva, wao wame mfunga united ambaye hakufungwa na wote, wakati wao wakimshinda tottenham, liva na Arsenal wali mshindwa, ukija kuangalia unakuta exatly gap ya point 4, Arsenal ameqeza ku pull moja zaid hivo gap lake ni point 3. Nnacho ona ni kawaoda kwenye ligi. Na vyooote hivi tunavo viongea havija isaodoa wala haivihusi man utd , man utd wana matatizo yao ya pekee kabsa.

Nimekubali kuwa umeelewa kuhusu LvG.

Ukiona wachezaji hawajitumi pia ndio tatizo la kocha, angalia Mourinho alipo iacha chelsea , conte ka pick , wachezaj wana jituma, unamuona Zidane anacho fanya Madrid, wachezaji wanajituma kwa ajili yake. Kwa hiyo wachezaj kuto jituma ni lawama inayo anzia kwa anaye takiwa awafanye wajitume. Si wao.

Na kama hajui kuwapa morali wachezaj atasajili mpaka akome na hata pata matokeo.
 
Aisee usichague tuvipoint tu dogo ktk post yangu kisha ukatusimamia huto huto huto.

Km unadai hizi injini mid zimejitahidi unaweza kuniambia ni nani wako ktk kiwango cha Paul Schols, Kean Na Carrick Na Daren wakati Wa SAF?

Unafanya mijadala kua mirefu kwa kusimamia vi hoja vidogo huku point kubwa ukiziacha hewani.

Ukijibu hilo swali langu hapo juu utaona middle yenu ndio shida ya back line yenu forward yenu.
 
Km unaona hayo maswali hayana maana Basi futa majibu Na sbbu zako ulizozitoa ktk swali langu LA kwanza nililokuuliza kua ni kipi kilipelekea Leicester kua bingwa msimu uliopita. Na km zile uliona ni sbbu za msingi Basi haya maswali niliyokuuliza yana maana sn ktk kupata picha halisi ya timu zinavyoenda.
 

Hapana mourinho ana wachezaj asilimia chini ya 50 ambao ana wapanga consistently, hata timu yake ya chelsea iliyo kuwa bingwa ilikuwa ina first eleven, mwaka jana leceister walikuwa wana julikana, mwaka huu chelsea kabla hata sja enda kwenye mechi napanga kikosi.
Sasa yeye mabadiliko anayo yafanya yana msaidia nn!!?, ndio maana tunao mpinga tuko pragmatic kuwa anafanya madiliko, matokeo yanakuwa mabaya , this means ana kosea mabadiliko yake.
Nakubaliana na wewe kuwa tukishinda sita lalamika kwa sababu atakuwa amechukua maamuzi sahihi. Ila tukifungwa ndio tuna expose anacho kosea ni nn, moja ya kosa ni hana kikosi cha kwanza, hivo ana kosa consistency na team spirit.
 
kashengo bana naona unacheka kweli tunayoyapitia ......ni kipindi tu!!!...... unauliza tena Ntuzu kuwa pro Mou Kwani hujui anafata nini huku Kwani Wewe mgeni na majukwaa Haya eeeeee mnataka mwenzenu akose haki yake kila siku hahahahaha just a joke jamani!!!!
...... Ntuzu ana mababa ya dhati na Mou .......

Hapa jukwaani kila mtu anaheshimika na ana haki sawa ya kuongea...... no mapovu at all kwa kila aneyeijua hali ya Timu kwasasa...... you know what kila jambo na wakati wake kuna nyakati unakaa kimya na kuangalia game laenda vipi,kuna nyakati utaprovoke sana,kuna nyakati utalia ,kuna nyakati za kucheka ,kuna nyakati za kudance,kuna nyakati za kupanda kwa machozi,kuna nyakati za kuvuna kwa shangwe .....ooooohhhh God ninachokuomba ufupishe tu machungu yetu yasifike kama ya Arsenal wala Liverpool..........Ameeen....... Najua unataka tufikie kwenu hatufiki ngo'......
cool brother!!
 

Sasa na wewe unajichanganya
.hao hao LvG alicheza nao, ooh alijitahid

Hao hao Mou ana cheza nao wana feli, hawafai sjui wabovu, nambie kwenye ligi kuu saa hii nani ana ukuta uwezo wa Scholes!?

Ndio kiungo yetu si kama ya zamani lakini , si ya kupata matokeo sawa na westbrom, everton na watford. Yaan pamoja na ubovu wetu hatustahili kuwa sawa kipoint na hao jamaa. Hili ni kocha la organization la kocha tu. Na ni kocha huyu huyu ametoka chelsea mwaka jana kwa kushindwa ku organize timu ipate matokeo japo alikuwa na talent za kutosha.
Yaan sioni Mourinho ana tolewaje kwenye lawama hapo.
 


Wanataka nikose haki yangu........


Yani Mourinho ni baba yangu kweli angalia avatar yangu hapo juu inaongea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…