Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Khaaa!!
Alo kwambia nani kuwa zina strugle!?
Chelsea ana 34
Arsenal 31
Liva 30
Man city 30.

Sasa hilo gap mbona la kawaida na la ligi kabisa.

Man utd.... 21- hiii sasa ndio ina struggle

Kutoa sare siyo kugain point moja ni kupoteza point mbili, na man utd hawawez wakajiteta et kwa kuwa wana toka sare.
Km zisingekua zina struggle bila shaka ktk michezo 14 waliocheza LFC gunners na city walipaswa kua na points 42. Sasa kwanini leo hii Utd iwe na tofauti ya points 9 na timu ambazo wewe waziona zafanya vzr?

Kumbuka ku- wrapp hizo points 9 ni michezi mitatu kitu kinawezekana kwa Mourinho na Utd.

Karibu udadavue
 
Basi na wewe huwezi kufananisha ubovu alio achiwa van gaal na ubovu alo achiwa mourinho.

Niliulizwa kocha gani alofanya vizuri ndani ya miez mitatu, sasa ndio nikajibu hao, na sijadanganya.

Zidane aliachiwa timu ya tatu, mou kaachiwa timu ya tano.
Zidane kasogea 1,
Mou karudi 6.

Sasa sijajua namuoneaje Mou
Kwahyo timu aliokua kaachiwa ZZ ni sawa na timu aliyoachiwa jose?
Alafu umesema tuchel msimu uliopita alimaliza wa pili nini kinacho mshinda saiz kuwa wa pili? Unasema tuchel anafanya vzr ilihali saiz ni wa sita kwenye ligi ya timu moja, kutoka nafasi ya pili aliyomaliza msimu uliopita, lakini mou karudi nyuma nafasi moja toka alipoikuta timu unasema anafanya vibaya kuliko aliyerudi nyuma nafasi nne, hii ndio tunayoita double standard,
 
Kivipi? Au ameshindwa nini?

Hebu dadavua kidogo nione hayo matatizo?

Nataka unieleze tatizo kocha kivipi?
Mbona nisha ongea sana hapa,
Timu haina first eleven
Hajui Pogba atumikaje
Timu haina morali
Hajui kufanya sub
Ana wapa pogba na ibra minutes nyingi za kucheza hata wanapo kuwa wana haribu.
Timu haina discpline.
Timu inaonesha haina maandalizi ya kiteknik na ki saikolojia.
Etc....... Yapo mengi sana mkuu.
 
Tatizo kubwa Mourinho unamfanyia assessment baada ya mechi 14 hao wengine unawafanyia assement baada ya msimu mmoja.Nimekuomba ulete statistics za hao makocha walichofanya ndani ya miezi 3 unaniambia ni-google
Ndio google, mimi ndio nime claim najua walifanya furesh kama huamini google.

Nilisha sema ntaendelea kumjaji kidogo kidogo, na akifanya poa ntampongeza, kwani hairuhsiwi kumjaji kwa miez mi 4!!?
 
Matatizo yaliyokua kwa Chelsea yalikua sio kocha Bali ni wachezaji na mtandao Wa hujuma Wa waingereza dhidi ya Mourinho maana mpira hauna ushindani uwanjani tu Ata huko nje kuna ushindani na interest za watu kibao tu. Ukilijua hilo halitokusumbua. Hii hali ilimkumba sn Mourinho akiwa Chelsea lkn kwa sasa akiwa Utd imeanza kupoa kidogo.
Ndio makosa ya kocha hayo, sasa huwezi tenganisha kuwa kocha alizingua jamaa wakamzingua, mpaka now ana struggle halo yake si nzuri
 
Mbona nisha ongea sana hapa,
Timu haina first eleven
Hajui Pogba atumikaje
Timu haina morali
Hajui kufanya sub
Ana wapa pogba na ibra minutes nyingi za kucheza hata wanapo kuwa wana haribu.
Timu haina discpline.
Timu inaonesha haina maandalizi ya kiteknik na ki saikolojia.
Etc....... Yapo mengi sana mkuu.
Belo Nzi herrera madai ya huyu mdau ni sahihi?

Mi sioni km ni sahihi na Nina sbbu kadhaa za kusema hivyo lkn kwanza napenda kusikia toka kwenu
 
Km zisingekua zina struggle bila shaka ktk michezo 14 waliocheza LFC gunners na city walipaswa kua na points 42. Sasa kwanini leo hii Utd iwe na tofauti ya points 9 na timu ambazo wewe waziona zafanya vzr?

Kumbuka ku- wrapp hizo points 9 ni michezi mitatu kitu kinawezekana kwa Mourinho na Utd.

Karibu udadavue
Hahaha
Umezichukulia point 9 kirahisi, mwaka jana arsenal kashibdwa kuwa bingwa kwa point 7.
Man utd tumeshindwa kuwepo top 4, kwa tofaut ya magoli.

Ligi ni ligi point moja ina ku cost,
Yaan hiyo utd iombee man city apoteze mechi 3, liva apoteze 3, na tot apoteze 2, huku yenyewe ikishinda tuu!! acha kuchukulia mambo simple hivo.
Tusha haribu hapa
 
Ndio makosa ya kocha hayo, sasa huwezi tenganisha kuwa kocha alizingua jamaa wakamzingua, mpaka now ana struggle halo yake si nzuri
Tatizo si kwamba aliwazingua Bali hawataki afanikiwe. We unafikiri ni nani anapenda kuona Mourinho kua ni mfalme Wa EPL? Yani awe anajichukulia ndoo tu atakavyo wakati kuna LFC wana miaka kibao? Gunners na etc? Changamoto anazoface Mourinho ziko beyond.... Ndio maana unaona kumekua na utulivu kuweka mambo sawa lkn si kwamba ni kocha mbaya au lah!
 
Kwahyo timu aliokua kaachiwa ZZ ni sawa na timu aliyoachiwa jose?
Alafu umesema tuchel msimu uliopita alimaliza wa pili nini kinacho mshinda saiz kuwa wa pili? Unasema tuchel anafanya vzr ilihali saiz ni wa sita kwenye ligi ya timu moja, kutoka nafasi ya pili aliyomaliza msimu uliopita, lakini mou karudi nyuma nafasi moja toka alipoikuta timu unasema anafanya vibaya kuliko aliyerudi nyuma nafasi nne, hii ndio tunayoita double standard,

Circumstances zao zote ni sawa, isipo kuwa quality ya timu ya Madrid iko juu. Pia kumbuka Zidane had 0 experience in international stage, huku mou akiwa tayari gwiji.

Tuchel, ukumbuke alitoka Mainz, alikita timu ni ya 8 aka ipeleka u pili, alifanya kazi kubwa sana mwaka jana, mwaka huu haja anza vizuri, alimpoteza Hummels na Mikhitaryan haikuwa loss ndogo ndio ni wa sita, lakini tayari ana point nyingi kwa mechi alizo cheza ukilinganisha na Mourinho. Tuchel akisema avumiliwe naweza kumuelewa. Na wala sio double standard hapo.
 
Khaaa!!!
Nimeangalia mechi za Swansea city na Hull city huwa wanafungwa na wana sikitika kweli, kigezo cha wachezaji kusikitika hakiwezo kutuambia kuwa hii timu iko vizuro kaka.
Ulitaka wakiwa wanafungwa wafurahi? Ni kitu ambacho hakiwezekani
 
Belo Nzi herrera madai ya huyu mdau ni sahihi?

Mi sioni km ni sahihi na Nina sbbu kadhaa za kusema hivyo lkn kwanza napenda kusikia toka kwenu
Tunajadili mimi na wewe, hii tabia yenu ya kuwaita kina Nzi, mmejizoesha vibaya, hao ni watu kama sisi tu wanauwezo wa kuwa wrong. Tena kwa sasa wako dead wrong hata siwasikilizi.Duuh!!

Twende wewe kama si kweli kwa nini ni uwongo hapo!?
 
Hahaha
Umezichukulia point 9 kirahisi, mwaka jana arsenal kashibdwa kuwa bingwa kwa point 7.
Man utd tumeshindwa kuwepo top 4, kwa tofaut ya magoli.

Ligi ni ligi point moja ina ku cost,
Yaan hiyo utd iombee man city apoteze mechi 3, liva apoteze 3, na tot apoteze 2, huku yenyewe ikishinda tuu!! acha kuchukulia mambo simple hivo.
Tusha haribu hapa
Points 9 kwa sasa ni rahisi sn maana ligi bado haijafika Ata nusu ndio maana sioni km ni shida kwa Utd au Mourinho kukunja hizo points. Kwasababu km Utd na kocha wao wako hovyo ni kwanini LFC city na Gunners na wao hawapati matokeo mazuri? Maana nilitegemea hizi timu zingekua na points 42? Tena ukiangalia ktk hizi wiki mbili tatu ni bora Ata ya Gunners anafanya vzr na yuko serious lkn city na LFC hovyo kabisa. Sasa tatizo liko wapi wakati timu zote ziko na shida?

Karibu
 
Tatizo si kwamba aliwazingua Bali hawataki afanikiwe. We unafikiri ni nani anapenda kuona Mourinho kua ni mfalme Wa EPL? Yani awe anajichukulia ndoo tu atakavyo wakati kuna LFC wana miaka kibao? Gunners na etc? Changamoto anazoface Mourinho ziko beyond.... Ndio maana unaona kumekua na utulivu kuweka mambo sawa lkn si kwamba ni kocha mbaya au lah!
Hapana hapa kaka umedanganya
Yeye mwenyewe Mou alizingua na yaka mgeuka, ali stahili tu.
 
Ulitaka wakiwa wanafungwa wafurahi? Ni kitu ambacho hakiwezekani
Sasa wewe umesema unampa venefit Mou na wachezaj kwa kuwa hata wakifungwa wana sikitika, ukasema tusome body language, hahaha. Baba hiyo hamna hiyo
 
Hapana hapa kaka umedanganya
Yeye mwenyewe Mou alizingua na yaka mgeuka, ali stahili tu.
Wala hakuzingua

Hilo nitapinga mpk kesho. Km manager lazima usimamie huo U manager wako kwasababu km wakivurunda manager ndio Wa kulaumiwa. Ktk muktadha huu utasema alizingua? Hapana
 
Sasa wewe umesema unampa venefit Mou na wachezaj kwa kuwa hata wakifungwa wana sikitika, ukasema tusome body language, hahaha. Baba hiyo hamna hiyo
Huo ni mtazamo wako lkn Ata timu iliyokania ushindi au kua bingwa watu hufanya examine kadhaa kuona vi characters vya ubingwa. So kwa Mourinho na his players they are not happy.
 
Points 9 kwa sasa ni rahisi sn maana ligi bado haijafika Ata nusu ndio maana sioni km ni shida kwa Utd au Mourinho kukunja hizo points. Kwasababu km Utd na kocha wao wako hovyo ni kwanini LFC city na Gunners na wao hawapati matokeo mazuri? Maana nilitegemea hizi timu zingekua na points 42? Tena ukiangalia ktk hizi wiki mbili tatu ni bora Ata ya Gunners anafanya vzr na yuko serious lkn city na LFC hovyo kabisa. Sasa tatizo liko wapi wakati timu zote ziko na shida?

Karibu
Sasa hebu ondoa mategemeo yako halafu weka uhalisia. Katika historia ya EPL mpya ni mara mbili tuu, timu ambayo ilikuwa ina point 21 kwa mechi 14 zilifanikiwa kuingia top 4.
Liva 2006/07
Arsena 2012/13.
Miaka mingine yoote ukiwa na hizo zinashindwa. Kufika top four, kwa saa hizi ni kujihadhari west brom na everton wasitupite.

Je Mou ana weza kufanya vizuri
Ndio, kama akibadilika kwa asilimia 90, anaweza, ila akiendelea hivi hivi, u 7-8 unamuhusu.
 
Back
Top Bottom