Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1.Ukiondoa Conte unaweza ukaleta statistics za hao makocha walichofanya baada ya miezi 3 ukilinganisha na makocha waliowa-replace ?

2.Again ukiondoa Conte je kuna kocha aliikuta timu kwenye hali mbaya kama Jose alivyoikuta United ?

3.Yes Mourinho aliiacha Chelsea kwenye hali mbaya but kumbuka
second spell Mourinho kafundisha misimu 2 na nusu
Msimu wa 1-Alishika no 3
Msimu wa 2-Bingwa EPL &Carling
Msimu wa 3-Alifukuzwa katikati ya msimu,hiyo misimu 2 ya mwanzo hutaki kabisa kuizungumzia

1. Tuchel (Dortmund)
2. Zidane (Madid)
3. Conte (Chelsea)
4. Ancelotti (madrid)
5. Blanc (PSG)
Nimekutajia wa tano hao hapo.

Mtu kama Ancelotti, ni wa pili kwenye ligi huyu ana struggle reasonably, kina Allegri wali strugle for about a month, baada ya hapo ana hit the road. Makocha hao hawakuwa wa 6 kwenye ligi zao, yet tulisema wana struggle, huwezi kumfananisha Mou na hao, at least Emery nilihis ata shindwa. Klopp nilieleza kuwa alikuja liva wakati msimu usha anza na aliwakuta kwenye hali mbayaa.
Sidhani kama ni reasonable kuwafananisha hao, na kumbuka Mourinho hata alikotoka Chelsea ali iacha ikiwa hali mbaya, mara ya pili hii tunarudia hili jambo mkuu.
Its cleary Mou yuko kwenye deep struggle zaidi.
Tuchel kapewa timu msimu uliopita, unajua saiz ni wangapi?
 
Tuchel kapewa timu msimu uliopita, unajua saiz ni wangapi?
herrera mi nasubiri mawazo mapya toka kwa Iceman 3D maana nataka kuanzia msimu uliopita ni sbbu ipi ilipelekea Leicester city kuchukua ubingwa Wa EPL?

Alafu ni viswali vingi vitafata baada ya hapo. Maana nataka kujua km tatizo ni Mourinho au timu zote zinahangaika?

Karibu Iceman 3D
 
Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,

Anasema tuchel anafanya vzr bvb, hapa napo napata tatzo kidgo kwamba huyu mkuu huwa anafuatilia kweli kinachoendelea au anaendeshwa na chuki binafsi
 
Km ana chuki na Baba Mou tutajua tu. Maana anadai kuleta mawazo mapya na Mimi nakubali kupokea mawazo hayo mapya tena kwa nguvu zoooote. Sasa km atapenda anijibu maswali yangu ambayo nimepanga kumuuliza nikimuongeza na Hili jingine.

Gunners na LFC wote wawili walichukua points tatu kwa tatu kwa Chelsea. Na baada Swansea City ikatoka sare na Chelsea. Yaani Chelsea ikapoteza points 8.

Lkn kwanini Leo hii Chelsea iko juu ya LFC kwa tofauti ya points 4 na Gunners kwa tofauti ya points 3? Maana km Chelsea ilipoteza hizo points maana Yake ilipaswa iwe chini ya hawa? Sasa nini kimetokea mpk kimekua kinyume?

Karibu mchambuzi Iceman 3D
 
Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,

Anasema tuchel anafanya vzr bvb, hapa napo napata tatzo kidgo kwamba huyu mkuu huwa anafuatilia kweli kinachoendelea au anaendeshwa na chuki binafsi
Nakupa jokes kidogo mukulu...

1481118628353.jpg
 
Nyingine hii wakati tunasubiri uchambuzi muzuri toka kwa Iceman 3D.

1481118742334.jpg
 
Naona kuna mjadala mkubwa sn na wenye mvutano mkubwa sn.....

Mimi nimeona ukidai kia wewe ni shabiki Wa Man Utd Mwenye uchungu mkubwa.

Sasa Nina vi maswali hapa kidogo nitapenda nikuulize kamoja baada ya kingine. Maana nataka kujua hayo mawazo mapya toka kwako.

Ktk msimu uliopita ni sbbu ipi kubwa ilipelekea Leicester city kuchukua ubingwa Wa EPL?

Karibu Iceman 3D
Sabab kubwa ziko mbili,
1. Organization ya leceister yenyewe ilikuwa nzuri (hii ndio ilifanya wao wakawa mabingwa hasa)
2.timu ambazo huwa zinashindania ubingwa zilishuka sana
 
Unataka kocha ambaye his coaching prowess has been proved in more than four major European Leagues afukuzwe hata kabla ya kufikisha nusu msimu! A coach whose carreer has been awash with trophies and accolades! Really!? C'mon man

Umechanganya vitu vingi sana humu ikiwemo taarabu na mipasho. Sasa mambo ya familia yangu yanakuhusu nini!! Dont be pathetic.
Kuna jambo umeliongea la maana, umesema we win together we draw to gether we loose together. Hiyo ndio ilivyo sijawahi kusema mi sijafungwa na tukifungwa nskitika, tukishinda nafurahi, Lakini tunatofautiana mawazo sasa tukisha fungwa tunapo analyse mi naona tunako elekea siko wewe unafurahia, sasa mi sio kosa langu kuona Kocha ana chemsha.

Umesema nime mu accuse Mou, nitajie kitu kimoja cha uongo nilicho sema kuhusu yeye ambacho si cha kweli, mi nta ki defend kadir niwezavyo.
 
Nakupa jokes kidogo mukulu...

View attachment 443544
Basi kuna rafiki yangu mmoja alikua anampenda fellain usimwambie kitu na anamchukia mata balaa
Sasa ile juzi bahati nzuri nilikua nae tunaangalia mechi, ila niliishia kipindi cha kwanza cha pili sikuangalia, baada ya game nika mtext vip matokeo? Alichojibu akasema tu "HATA RONADINHO ALIKUA ANAKOSEA" kuja kufuatilia kumbe fellain aliingia na kuchoma
 
Sabab kubwa ziko mbili,
1. Organization ya leceister yenyewe ilikuwa nzuri (hii ndio ilifanya wao wakawa mabingwa hasa)
2.timu ambazo huwa zinashindania ubingwa zilishuka sana
Vzr sn na asante sn kwa majibu yako.

Ktk hiyo sbbu yako ya pili. Je huoni hiyo hali na msimu huu bado inazikumba timu zote maana ukiitoa Chelsea ambayo imeshinda michezo 8 hivi zilizobaki zooote zina struggle tena kwa nguvu na wakati mwingine waweza sema ni heri ya Utd kwasababu yeye hapotezi michezo Bali ni sare tu ndio zina muandama mpk amekua anasuasua.

Karibu Iceman 3D
 
Basi kuna rafiki yangu mmoja alikua anampenda fellain usimwambie kitu na anamchukia mata balaa
Sasa ile juzi bahati nzuri nilikua nae tunaangalia mechi, ila niliishia kipindi cha kwanza cha pili sikuangalia, baada ya game nika mtext vip matokeo? Alichojibu akasema tu "HATA RONADINHO ALIKUA ANAKOSEA" kuja kufuatilia kumbe fellain aliingia na kuchoma
Hahahahaaa.......

Kwakwa kwakwa kwakwaaaaaa

Kule kwetu yupo Garry Cahill lkn herrera tunampenda sn yule jamaa ingawa ana magoli matatu keshamtungua kipa wetu.....
 
Sema asikwambie mtu kipigo kinauma acha WDDDDDDDDLLLDD Sio mchezo
Ni kweli lkn nyie hampigwi nyie sare ndio zinawaghalimu.

Na ukiingalia Utd jinsi ilivyo kwa sasa baba Mou january anatakiwa aingie sokoni kununua Ata wachezaji watatu hivi ktk nafasi tatu hivi. Back line, middle na ushambuliaji.
 
Kinachoendelea kwa Utd tatizo sio kocha. Kweli kuna shida kadhaa Wa kadhaa lkn tatizo sio kocha.
Hapo ndio tunapo pishana na wewe, kila kinacho endelea now, kocha lazima aingie kwenye lawama, anaweza asiwe kocha pekee
Ila namba 1, ni yeye.

Mnamkubali wap, mmefukuza mara 2 , mbona hamkukaa naye mwaka jana!!. Au mnamkubali kwa anacho fanya now
 
According to statistics tatizo kubwa la United msimu huu ni kushindwa kufunga magoli compared na nafasi wanazotengeneza but kwenye maeneo mengine timu imeimprove ukilinganisha enzi za Moyes na LVG
 
Attachments

  • 1481119955711.jpg
    1481119955711.jpg
    35.2 KB · Views: 29
Back
Top Bottom