Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba aanzie benchi tena game ijayo waanze hawa hawa kwakuwa rooney hatacheza basi awekwe mata
 
Pogba aanzie benchi tena game ijayo waanze hawa hawa kwakuwa rooney hatacheza basi awekwe mata

Kisa tumeshinda..!!

Tungetoa sare hapa ungeandamana kwanini Pogba hajacheza..!!

Muhimili wa timu yetu kwa sasa uko chini ya Pogba, Hererra na Mata kwa mbali na Carrick. Mtoe mmoja wapo hapo kwa mechi tatu mfululizo uone kitakachotokea..!!
 
Mwenye Statistics za Carrick game alizocheza msimu huu ngapi tumeshinda,Ngapi tumepoteza,Na Ngap tumeenda Sare
 
Hongereni kwa kupita leo wakuu...!

everlenk RRONDO herrera Belo et al et al...
Ahsante mkuu, acha tukomae na hili la mbuzi angalau mwisho wa msimu tuwe na cha kusema, kuna eti wale wanaotaka UEFA na EPL wakati nafasi yao ni ya nne we all know that.
MUFC have scored 4 goals in a match, 4 times, under Jose in 22 games,
they scored 4 goals in a match, 4 times, under LvG in 103 games
Still kuna watu eti hawaoni maendeleo.
 
Kisa tumeshinda..!!

Tungetoa sare hapa ungeandamana kwanini Pogba hajacheza..!!

Muhimili wa timu yetu kwa sasa uko chini ya Pogba, Hererra na Mata kwa mbali na Carrick. Mtoe mmoja wapo hapo kwa mechi tatu mfululizo uone kitakachotokea..!!
Nadhani huyo asiejua umuhimu wa pogba hakuangalia mpira jana katikati walikuwa holding tu sana wamecheza pembezoni kwa valencia to mikki na shaw to martial yaan angekuwepo pogba ingekuwa balaa
 
Back
Top Bottom