LVG alijitahidi sana ndio msimu wa mwaka jana kuna miezi tulikuwa disastrous ila siku zote alianza vyema na kumaliza kidogo alikuwa sawa, aliondoka ana Kombe la FA kidogo hata ka momentum kalikuwepo we never know mwaka huu angeanzaje.Solution sio kununua wachezaji tu ni jinsi ya kuwatumia wachezaji ulionao LVG aliwanunua DiMaria,Depay,Darmian,Rojo,Schneiderlen,Falcao na wote wamechemsha
Mourinho ameongeza mengi kwenye defence na midfield tatizo lililobaki ni kufunga magoli tu.LVG aliongeza nini ndani ya miezi 4 ?
LVG alijitahidi sana ndio msimu wa mwaka jana kuna miezi tulikuwa disastrous ila siku zote alianza vyema na kumaliza kidogo alikuwa sawa, aliondoka ana Kombe la FA kidogo hata ka momentum kalikuwepo we never know mwaka huu angeanzaje.
Ila Mou interms of results karudi nyuma, interms of tempo kaongeza tempo na bahat mbaya mwaka huu de gea ana kosa consistency hapo ndio shda ilipo. Ila ikitokea Mou akawa na mwezi mbaya mmoja tuu, tuko hatarini though van gaal mwaka jana mwezi wa 12 mpaka wa pili alikuwa na kipindi kibovu ali manage ku fikisha point sawa na City though magoli ndio yali muumiza.
Looking back ,LVG was that bad hata hivo.
12 years now Arsenal wanacheza vizuri lakini hawajawahi chukua ubingwa wa EPL
Nimeongelea points points points sio ubingwa tofautisheni na kinachoongelewa.
Tangu SAF ameondoka timu haijawahi kuwa vizuri but now timu inacheza vizuri ukilinganisha na msimu uliopita the problem ni kwamba haipati matokeo
Points zipi ?
Timu ikishinda mechi nyingi inapata point nyingi finally inachukua ubingwa
nimemwonea huruma Steven Gerrard mpaka anastaafu hajawahi kuchukua ubingwa pale uingereza.
I am afraid its just you. Wenzako washausoma mchezo na wanaelewa the status quo ya timu yenu. [HASHTAG]#Povu[/HASHTAG]Who are you to tell me how to be?! Gosh!! How are old you?
NB: is it just me or what? I have seen an increased trend of really dumb comments! Excuse my French guys, but, I seem to have failed to tolerate such a trend!
Kumbuka chelsea walikuwa vibonde na walikuwa under Mourinho, tha issue ni je uwezo wa Mourinho bado uko sawa!!?,jibu ni hapana.Unalinganisha miezi 4 ya Mourinho na miaka 2 ya LVG,LVG msimu wa kwanza alichemsha lakini tulimuelewa msimu wa pili licha ya kuchukua FA timu ilikuwa inazidi kudidimia na last season Chelsea na Liverpool walikuwa vibonde tofauti na msimu huu,kombe la FA hata Mourinho anaweza chukua.Ni mapema sana kuanza kusema Mourinho hafai
Mkuu ulikua unaangalia mechi zetu lakini? Bila De gea mwaka jana hata hiyo Europa ligi tusingecheza... Hiyo europa De gea ndio katupeleka!Sasa kama tulikuwa na zero shots tulishindaje mechi nyingi kuliko za Mou!? Nenda kacheki msimamo wa mwaka jana tukiwa tumecheza mwch 13 uone.
Halafu haiwezekani Makipa wa nne wote wanajihidi wakiwa Old Trafford tuu, ila sisi hatujui kushambulia, jambo ambalo ni bora u create chance chche uzitumie kuliko tunavo crate nyingii halafu hatutumii
Tukubali kuwa de gea wa mwaka jana si wa mwaka huu, kwa kweli alituokoaMkuu ulikua unaangalia mechi zetu lakini? Bila De gea mwaka jana hata hiyo Europa ligi tusingecheza... Hiyo europa De gea ndio katupeleka!
Kumbuka chelsea walikuwa vibonde na walikuwa under Mourinho, tha issue ni je uwezo wa Mourinho bado uko sawa!!?,jibu ni hapana.
Je tufanyeje sasa!!? Tumuache amalize msimu lakini tuwe na mategemeo kidogo sanaa ya kuwepo hata top 6 hiyo. May be mwakani atakaa vizuri but we have a very long and turbulant season bro jiandae kwa yote
timu ikiwa na hali mbaya huvuta mijadala na kujaza pages.....!!!!
jana almanusra westham wawamalize kabisa iwe 2-1 jukwaa ili lingejaa MAPOVU ya kufa mtu
zamu yenu kujaza pages dadeki.....na bado mtaandika sana, nimewambia start counting msimu huu wa nne....ifike mpaka 10 then ndo mtachukua EPL ....
siko serious sana wadau msije kuniua bure utani jama......
Khe khe khe khe kheeeeee!!!!!!
Ngoja tuone ila mwenzio hapa tim yetu sidhani kama inaelekea kwema, naombea timu ifanikiwe kwani ni furaha yetu sote mashabiki ngoja tusubiri.Baada ya SAF kustaafu nilijua United itapata sana taabu hakuna kocha ambaye angeweza kufanikiwa kama yeye so yanayotokea sishangai sana although nilitegemea makubwa sana kutoka kwa LVG hasa msimu wa pili lakini alizidi kunidisapoint,Bado kuna fixture ya December tukishinda tutakuwa kwenye nafasi nzuri
Misimu ya mwisho ya SAF tulikuwa na tatizo la kiungo ambalo Moyes na LVG liliwashinda kutatua na mechi nyingi timu ilikuwa inashambuliwa sana De Gea akawa anatuokoa.
Since Jose amekuja na kumleta Pogba na kumrudisha Herrera kucheza kama DM/Holding now timu inacheza vizuri na muda mwingi tunacheza kwenye half ya wapinzani tofauti na enzi ya LVG muda mwingi tulikuwa tunacheza kwenye half yetu
Matatizo yaliyopo so far
1.Jose ametengeneza mfumo ambao unamtegemea sana Ibra kufunga so akibanwa inakuwa ngumu timu kushinda
2.Mfumo uliopo unategemea fullback kwenda kushambulia na kwa sasa Valencia tu ndio anaweza,upande wa kushoto umekuwa tatizo kutengeneza nafasi,tunalazimisha sana kupita upande mmoja
3.Kumrudisha Herera kucheza nyuma kumepunguza idadi ya magoli,Herrera misimu iliyopita ukiacha Mata yeye ndio alikuwa kiungo aliyefunga magoli mengi ni mfungaji mzuri sana akicheza advanced role ukimlinganisha na Pogba
4.Martial/Rooney hawako kwenye form
Mapendekezo
1. Jose ajaribu kuwa flexible na formation sio lazima kucheza 4-2-3-1/4-3-3 sometimes apange 4-4-2 Zlatan acheze na Rashford
2.Kuliko kuanza na Darmian kushoto ni bora aanze Young/Blind ni mzuri kwenye kushambulia kuliko Darmian
3.Rashford asicheze winger pembeni sio mzuri na sio mzuri kurudi kukaba ,Mikhtarian/Martial ndio wanaweza kucheza
Ligi bado mbichi wakati it's already December...tunakaribia nusu ya fixtures!Ligi bado mbichi hii,we'll bounce back we're United nawaonea huruma Everton maana tutawafanya kitu mbaya.
GGMU....[emoji4][emoji4][emoji4]
tatizo la mashabiki hawataki kuambiwa ukweli" morihno zama zake zimeisha.......... nilishalisema hili tokea akiwa chelsea na nilitofautiana na mashabiki wenzangu wa chelsea, anahaha tu ataanza kuwalaumu marefa mpaka wachezaji wkt yeye ndio tatizo.Ila mkuu hivi ukimuangalia Mou unahisi ameongeza nn zaid ya kuwa na high tempo tuu.
Hana style maalum, hana wachezaj maalum, ukizingatia alipata chance ya ku spend kuliko Van Gaal, naona tumerudi nyuma kuliko alipo tuacha Van Gaal. Kumbuka sasa tuko wa sita kwa sabu tu everton na Watford hawapati matokeo mazuri.
Siamini katika kubadilisha hovyo makocha, lakini namuona Mou ni kama anapotea kwa sasa