Mikhi aingie kuchukua nafasi ya Marcus na Rooney am-sub Jesse.
Ferguson alikuwa ananunua Marefa... na baadhi ya Mechi..Man UTD ya sasa haionekani kama ni moja kati ya Big 4, heshima imeshuka sana.
Bora hata ile ya Moyes.

Awe anangoja mechi za Arsenal tu.. Maana ndio timu pekee aliyoizoea na iliyompa umaarufu....Afadhali rashford katoka

Mpira umachezwa miguuni aisee...hawa West ham tunawafunga na jumatano pia tunawatoa kombe la league



Mlimvunjia sana heshima Moyes... Ngoja tuone laana zake zitakapo wafikisha..Man utd have drawn three straight games at OT, most draws 4....36yrs ago.
