Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Marefa wanatuumiza sana siku hizi,

Mou anatakiwa abadirishe mtindo wake wa kusakamana sana na Marefa. Naona kinyongo chao wanakimalizia kwa Timu,

Ona kama hii faulo ya Pogba, Faulo kachezewa yeye na Kadi kapata yeye..!! Mou kalalamika kidogo tu, naye kala nyekundu..!!!

Anatakiwa kubadirika na kutafa namna nyingine ya kufikisha malalamiko yake kwao.
 
Wacha1
 
Hawa watoto waanze sub huyu rashford kaanza kukegea goli gn la kukosa rooney alifunga goli kama lile last thursday
 
Man utd have drawn three straight games at OT, most draws 4....36yrs ago.
 
Back
Top Bottom