SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,863
Go go man u
Naskia harufu ya kukosa point 3 leo.Man Utd XI vs. West Ham:
De Gea; Valencia, Jones, Rojo, Darmian; Herrera, Pogba; Rashford, Mata, Lingard; Ibrahimovic.
Sijui kwanini hakupanga kama kile cha alhamisi..Naskia harufu ya kukosa point 3 leo.
Sjui kama ni kweli hii harufu nnayo ipata
Yaan naona kabsaa kama tutalaumiana baada ya dakika 90Sijui kwanini hakupanga kama kile cha alhamisi..
Hata mimi nimejiuliza sanaYaan naona kabsaa kama tutalaumiana baada ya dakika 90
Lakin ngoja tuone, maana naye kawa kama Van gaal hakuna first eleven
Tupo pamoja mkuu..tuangalieYaan naona kabsaa kama tutalaumiana baada ya dakika 90
Lakin ngoja tuone, maana naye kawa kama Van gaal hakuna first eleven
Ngoja tuombee timnifanye vizuri ila tukikosa hizi 3 akubali kuwa ni makosa yakeHata mimi nimejiuliza sana
Hiyo harufu itakuwa sio ya man u labda ya West ham.... Pnt 3 leo zipoNaskia harufu ya kukosa point 3 leo.
Sjui kama ni kweli hii harufu nnayo ipata
Hahah sawa bosHiyo harufu itakuwa sio ya man u labda ya West ham.... Pnt 3 leo zipo
Naskia harufu ya kukosa point 3 leo.
Sjui kama ni kweli hii harufu nnayo ipata
Ashakum....
Pua zako zinamatatizo kidogo mkuu, hakuna cha harufu wala nini... Leo tunaogesha mtu gori za kutosha.
Tuwe pamoja, here we go...