Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hongereni mashabiki wote mwisho wangu wa wiki umekuwa mzuri nyumbani na ughaibuni. Mdogo mdogo chuzi likija kukolea watatuelewa tu.
Asante Utd
Bado Arsenal sasa
Burnley, wababe wa Liverpool
Baada ya kuwekwa benchi Rooney imemsaidia na alikubali so anajitahidi akipata nafasi apiganie nafasi kumuonyesha kocha kwamba bado uwezo anao,Rooney workrate yake ni kubwa ingawa kiwango kimepungua lakini still ana msaada.Hizi game 2 amecheza vizuri sana lakini yeye na Ibra hawapaswi kuchezeshwa dakika 90 kila wikiSiku zote huwa na imani na captain wetu hilo kweli ila wazza hupenda kujituma na ana machungu sana tukifungwa hicho kitu ninamkubali sana.
Yaah hilo la dakika 90 hawatakiwi kumaliza mpira una kasi siku hizi na umri wao umesogea sana hilo tupo pamoja.Baada ya kuwekwa benchi Rooney imemsaidia na alikubali so anajitahidi akipata nafasi apiganie nafasi kumuonyesha kocha kwamba bado uwezo anao,Rooney workrate yake ni kubwa ingawa kiwango kimepungua lakini still ana msaada.Hizi game 2 amecheza vizuri sana lakini yeye na Ibra hawapaswi kuchezeshwa dakika 90 kila wiki
Japo beki yetu mbovuGame zote alizoanza Carrick timu haijapoteza mchezo ni muda wa Bastein naye kuaminiwa na kupewa nafasi.
Ila kama De gea makali yamepungua kidogo Romero naye apewe nafasi.
Mie Burnley hajanifunga mkuu, nimesuluhu naye.Mtani Ulishindwa Kazi Kwa Burnley Kunilipia Walivonifunga... Lakini Mimi Nimeshakulipia Kwa Kuwatandika Wababe Wako Watford goli 6..
By the way! Mbona Kwa Watford sijaona timu ya Kukufunga goli 3 pale??
Tuneona na goli 3 kabebaKesho swansea anajibebea point zake 3 kilaini kabisa!...
TumeonaMdomo umemponza na leo swansea naona anchukua pont tatu muhimu kilain...kabisa
Na nyinyi sio kama hiyo nafasi muliopo mna hatimiliki nayo, pambaneni kwanza, msimu ndo kwanza hata nusu haujaisha, acheni kukurupukaBora Msimu Uishe Leo Abakie Hapo Nafasi Ya Nane Alipo Kuliko Kumaliza Masimu Akakosa Hata Top 10...
Mtawafunga sana hao wajingawajinga lakini arsenal hamuwawezi...hebu shika adabu zenu. Endeleeni kuumizana...sisi tupo juu tunaning'inia.Hapana........aseno kashaanza ingia kwenye siku zake huko