marongota
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 321
- 269
Kwa nini aondoke mkuuYes but hii timu kocha wa kuondoa
Kwa nini aondoke mkuuYes but hii timu kocha wa kuondoa
Nimeongea maadui wa man u soma vzr utaelewa nnachosisitiza shabiki wa man u anatakiwa ajiamni awe na subra timu iko vzr na itakaa vzr coordination inaanza kuonekana just tuwape time mpk dec tutakuwa bora xaidi ya hvKwa iyo we maandazi au ukawa
Kutoa wakongwe wote kosa lbda atoke mmoja kati yao nilichojifunza ibra na rooney hawatakiwi kukaba sana kuminyana ndio maana wanachoka mmoja wao atakiwa awe goal gotter tuNafikiri ni wakati wa kufanya substitutions: Martial na Rashford waingie na Ibra na Rooney watoke, ili Swansea wakimbizwe na United iongeze magoli..
Sikiliza wewe Ibra ana 35yrs kumtegemea kama number one striker week in week out ni risky . Ila ana quality yake ambayo siku kama leo umeiona.Man u inasumbuliwa na kasumba mbili haters (ukawa) ja mashabiki maandazi ambao week ya wanamponda ibra kuwa hafai lkn leo watamuona ndio mfalme ni bora uwe ukawa kuliko shabiki maandazi in utd we trust ggmu..
Kabisa...Martial akiingia kuna goli, pia ni opportunity to rest Ibra.Nafikiri ni wakati wa kufanya substitutions: Martial na Rashford waingie na Ibra na Rooney watoke, ili Swansea wakimbizwe na United iongeze magoli..
Amesababisha akose mechi na Arsenal.Huyu mourinho, utadhani ibra ndiye hirizi yake, hamtoi hata kama tumeongoza . anapoteza mipira tu
Hana jipya sio Ana jipyaTimu ishamshinda ....
Ana jipya tena.....
Sawa...umesikika msaga sumu wewe...Zlatan ataongezewa kwa faulo hii, a boot on the back from of the head. Ilitakiwa a RED pale.
Siku zote huwa na imani na captain wetu hilo kweli ila wazza hupenda kujituma na ana machungu sana tukifungwa hicho kitu ninamkubali sana.Kutoa wakongwe wote kosa lbda atoke mmoja kati yao nilichojifunza ibra na rooney hawatakiwi kukaba sana kuminyana ndio maana wanachoka mmoja wao atakiwa awe goal gotter tu