Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na nyinyi sio kama hiyo nafasi muliopo mna hatimiliki nayo, pambaneni kwanza, msimu ndo kwanza hata nusu haujaisha, acheni kukurupuka

Hebu Angalia Muda Wa Hiyo Comment! Niliitoa Kabla Ya Mechi Yetu Ya Jana! Nilipoitoa Tulikuwa Nafasi Ya Nne Nyuma Ya Chrlsea, Arsenal na MCI....
Kwahiyo Comment Yangu Hiyo Haikuhusiana Na Ubora wa Timu yetu Wala Nafasi Tuliyopo...
Kuwa Na positive mind mkuu..


NOTE:
Kuhusiana Na Gemu Yenu Ya Jana, Mimi Sijacomment Chochote Kwani Ukweli Upo Wazi Kuwa Timu Yenu Jana Imecheza Vizuri Kitimu Zaidi... Kwahiyo Sioni Sababu Ya Kudisturb Jukwaa...

Mimi Huwa nina Maneno Mengi Pale Timu Yenu inapocheza Ovyo Kwani Ninajua Fika Kuwa Si Kosa la Timu! Bali Ni Kocha Wenu Ndiye Mwenye Tatizo Sugu La Kutokujua Nani Amchezeshe....

Lakini Kwa Jana Kocha Wenu Kapatia Na Timu imecheza uzuri hilo halina ubishi..... Hata Hivyo Nitakua Mshabiki Wenu Siku Ya Gemu Yenu Na Arsenal...
 
Dude, you don't have to waste your precious time replying to crappy posts...let them shit and piss on our thread as they want..it is the shitting and pissing that gives them pleasure...so let them be.

[HASHTAG]#ManUnitedAllTheWay[/HASHTAG]
Wow that was too deep hope ulipost ulichopost ukiwa unabubujikwa machozi, usikonde man thats fubol ndio mpila ulivyo very unpredictable
 
Kweli hii timu hawa vibonde of all time hii mitelemko of all time
6482b0a0c079ea2ac2a86d78e639da94.jpg


Unafananisha na record hii
fc7e7a2585203a9a31ecb2a2c297a5a9.jpg


Atlist ingekua
fff8adb6b550edcb2c8a398e051abcc7.jpg


Lakini sio
007b1787f24f03c0633ae6ba2e6aa5e3.jpg


Wala
dc836f6424d8784346c4f5824b9c6312.jpg


Nyie ni zama za mawe so far, tulieni muumizwe mioyo hamna relief yeyote toka kwa mourinho,

NB: msibishane au kuchokoza ugonvi kwa sasa nyumba mnayoishi ni ya vioo mtakosa makazi ndugu.

 
Nimeongea maadui wa man u soma vzr utaelewa nnachosisitiza shabiki wa man u anatakiwa ajiamni awe na subra timu iko vzr na itakaa vzr coordination inaanza kuonekana just tuwape time mpk dec tutakuwa bora xaidi ya hv
BAFA aka twafa au wafwa singular nafwa adjective Yafwa so man u YAFWA
 
Back
Top Bottom