Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ibra again

Utd 3

Points 3 leo na magoli mengi

Ohh na clean sheet muhimu
 
Man u inasumbuliwa na kasumba mbili haters (ukawa) ja mashabiki maandazi ambao week ya wanamponda ibra kuwa hafai lkn leo watamuona ndio mfalme ni bora uwe ukawa kuliko shabiki maandazi in utd we trust ggmu..
 
Kwa iyo we maandazi au ukawa
 
Leo tunavunja mwiko maana toka aondoke babu hatujawah kuwafunga hawa mbweha
 
Back
Top Bottom