Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kutoka moyoni kabisa POLENI wadau

najua mnachopitia ila nasisitiza

Jaribuni Kuzoea....Transition takes Time thou watu wengine huwa wagumu kuelewa huu ukweli ....Angalieni msifungwe next game EPL maana Itakuwa Crisis back to back Defeats inaua Confidence vibaya sana na inaletaga Presha sana kwenye Team perfomance

Am Out
 
Mkuu utd haipo sawa since sir alex astahafu, tunapita ktk kipind cha mpito, ndio maana kina Ed Wood wanafanya kila liwezekanalo kurudisha heshima ya hii timu, inapobid kufukuza makocha na kusajili, even Mou naye anaweza akafungashiwa virago endapo hii timu haitoingia top 4.
Look at liverpool, more than 20years no epl trophy, look at asernal, more than 10years no trophy, sasa jaribu kifikiri Wenger pamoja na uzoefu wake wa epl league bado anachemka, akistahafu je nin hatima ya asernal??
Sababu ya kumleta mou ni ule mkataba walioingia nafikiri ni adidas kama sijakosea kua within 3 yrs team ibebe uefa, mkaingia kichwa kichwa mkiamini atawafikisha top four sasa ni msimu wa ngapi huu tangu musign huo mkataba??

Inaumiza pale unapolazimika kukubali ukweli mchungu kwamba kwenye banda wakiweka middles brough vs sunderland na bunley vs man u ntaangalia game ya sunderland sababu najua wazi game ya man u na bunley nani ataibuka mshindi ( bunley,obvious)

Sio kabila hiyoo
 
Kutoka moyoni kabisa POLENI wadau

najua mnachopitia ila nasisitiza

Jaribuni Kuzoea....Transition takes Time thou watu wengine huwa wagumu kuelewa huu ukweli ....Angalieni msifungwe next game EPL maana Itakuwa Crisis back to back Defeats inaua Confidence vibaya sana na inaletaga Presha sana kwenye Team perfomance

Am Out
Ukweli kuntu unauma af mchungu worse part haumezeki japo hautemeki
 
upload_2016-11-3_23-9-26.png

upload_2016-11-3_23-10-5.png

Paul Pogba went off with an injury in the first half
Majuto mjukuu khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Haya tena wadau na leo tena
Teampogba tunasulubu mtu leo
Kumbuka kawapiga 2 hawa leo sijui atawapiga ngapi??ngoja muda ufike tujionee

Kamuulize Daktari Wa Timu Pogba Kama Kawapiga Ngapi au Kapigwa Yeye
😀😀😀
 
Mourinho has lost ground, hana jipya katika mpira wa miguu, hawezi kutengeneza timu. I said it the moment he was endorsed by manure fans, tuendelee kuangalia atakavyoaibisha timu...
 
Mourinho has lost ground, hana jipya katika mpira wa miguu, hawezi kutengeneza timu. I said it the moment he was endorsed by manure fans, tuendelee kuangalia atakavyoaibisha timu...
Mwaka 2014 Morinyo kachukua epl nitajie kocha wako mwenye jipya alichukua kombe lini?
 
Lol mtakuwa vibaya katikati. Naona wapenzi wengi hawamkubali Morgan S. Carrick na Schweini hawapewi kipaumbele. Nani atacheza along Big Fellaini katikati? Hivi Smalling naye ni majeruhi au alipumzishwa kwa ajili ya EPL?
Baily,Valencia,Smalling ni majeruhi
 
Ukweli kuntu unauma af mchungu worse part haumezeki japo hautemeki
Jama unaonekana unauchungu kweli na tim yetu...
Ngoja nikwambie kitu kijana.. I will never giv up with my tym .. Forever am united

Tena ukumbuke vizuri kijana hii hii tym imenipa ubingwa na furaha 2013.. So kushindwa ni kawaida katika mpira usiwe untok tok saana wakati ww hukupata furaha hiyo taingia umezaliwa unaishia kuisikia tuu kwa mzee wako livafool walixukua ubingwa!!

NB:NAJUA MSIPOFUNGWA NA MAN UNITED HAMJISIKII RAHA KABBISA WAIT TUIPANGE TIMU THEN TUTAENDELEA KUWAKUNGUTA KAMA KAWAIDA YETU.
 
Mourinho has lost ground, hana jipya katika mpira wa miguu, hawezi kutengeneza timu. I said it the moment he was endorsed by manure fans, tuendelee kuangalia atakavyoaibisha timu...
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema wachezaji wa Manchester United walichukulia mechi dhidi ya Fenerbahce katika Europa League kana kwamba ilikuwa mechi ya kirafiki ya kujiandaa kwa msimu.

Red Devils walishuka hadi nambari tatu kwenye Kundi A ligi hiyo ndogo ya Ulaya baada ya kulazwa 2-1 na klabu hiyo ya Uturuki mjini Istanbul.
Manchester United sasa wameshinda mechi mbili pekee kati ya saba walizocheza mashindano yote karibuni.

"Timu inayofungwa baada ya dakika mbili pekee ni timu ambayo haiko tayari, haijajiandaa kiakili, haina mwelekeo na haina umakinifu," amesema Mourinho.

United wamefunga mabao mawili pekee mechi zao nne walizocheza karibuni zaidi.
Aidha, walifungwa baada ya sekunde 30 pekee na Chelsea na sekunde 65 na Fenerbahce.

Mshambuliaji Moussa Sow alifunga kwa kombora la kushangaza la kupitishia mpira juu ya kichwa, naye Jeremain Lens akaongeza jingine kupitia frikiki kabla ya Wayne Rooney kufunga bao la kufutia machozi mechi ikikaribia kumalizika.
 
Mwaka 2014 Morinyo kachukua epl nitajie kocha wako mwenye jipya alichukua kombe lini?
Haitaki kutumia nguvu kaa kimya shuhudia ofcorse he's right person at man u sasa subirini muone is he the special one?
 
Jama unaonekana unauchungu kweli na tim yetu...
Ngoja nikwambie kitu kijana.. I will never giv up with my tym .. Forever am united

Tena ukumbuke vizuri kijana hii hii tym imenipa ubingwa na furaha 2013.. So kushindwa ni kawaida katika mpira usiwe untok tok saana wakati ww hukupata furaha hiyo taingia umezaliwa unaishia kuisikia tuu kwa mzee wako livafool walixukua ubingwa!!

NB:NAJUA MSIPOFUNGWA NA MAN UNITED HAMJISIKII RAHA KABBISA WAIT TUIPANGE TIMU THEN TUTAENDELEA KUWAKUNGUTA KAMA KAWAIDA YETU.
Nimeanza kuifatilia arsenal mwaka 94 baada ya kutoka newcastle kwenda London nikiwa kijana mdogo kabisa mpaka leo sikuwahi kujuta kufanya uamuzi huo

Pili mimi ni arsenal sio story au maigizo mimi ni arsenal tena arsenal damu sinywi pombe sivuti baada ya family yangu starehe namba mbili ni kuona arsenal wakicheza kabumbu pili ni kuangalia mpila

Kukuweka tu sawa screen short hii, MAN U ITACHUKUA SIO CHINI YA MIAKA 10-20 kuja kuchukua UEFA na 5-10 kubeba EPL so far huu unaenda mwaka wa 4.
 
Anha! kumbe arse8 vibonde wetu... Tuliza mshooono sasa..
Umemic kufungwa na man unted
 
Back
Top Bottom