Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa hatuitaji uvumilivu Bayern, Madrid, Barcelona wote wamebadili makocha ila hatuoni upuuzi kama huu timu inashindwa kufunga goli, Ibra, Martial na wachezaji wengi ni mizigo

Naomba kumtetea Martial...alipokuwa akicheza kati (central striker) alikuwa very effective. same applies with dogo Rashford.

Nadhani ni Mou kuamua kum-drop Ibra na kumtumia mmojawapo wa hao madogo kama striker na Rooney awe kumi (behind the striker) in some point kutokana na urahisi wa game watakuwa wanacheza 4-4-2.

Kuwaweka hao madogo watokee pembeni inapunguza ukali wao. Ila ni mtazamo wangu msinitukane tu kisa ni shabiki wa Chelsea.


Baada ya kusema hayo niwape pole...msimu huu nafasi ya saba inawahusu.
 
wacha wapigwe tu mpaka watuambie thamani halisi ya kinyambe pogba.
 
Nilidhani huwa hamuangalii game za alhamisi! Man utd akifika nusu fainali tu, europa inakuwa na mvuto kuliko champions league.

Europa iwe na mvuto kuliko Champions League hahahahaha. Naangalia game za Europa sababu ya upenzi wangu wa soka na si linguine.
 
Hawakosagi visingizio ooh si matajir, tunauza jersy
Mkuu utd haipo sawa since sir alex astahafu, tunapita ktk kipind cha mpito, ndio maana kina Ed Wood wanafanya kila liwezekanalo kurudisha heshima ya hii timu, inapobid kufukuza makocha na kusajili, even Mou naye anaweza akafungashiwa virago endapo hii timu haitoingia top 4.
Look at liverpool, more than 20years no epl trophy, look at asernal, more than 10years no trophy, sasa jaribu kifikiri Wenger pamoja na uzoefu wake wa epl league bado anachemka, akistahafu je nin hatima ya asernal??
 
Next game Herera pia hatakuwepo so Pogba hakupaswa kuanza

Lol mtakuwa vibaya katikati. Naona wapenzi wengi hawamkubali Morgan S. Carrick na Schweini hawapewi kipaumbele. Nani atacheza along Big Fellaini katikati? Hivi Smalling naye ni majeruhi au alipumzishwa kwa ajili ya EPL?
 
Back
Top Bottom