Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Namaanisha imebaki story
Unamatatizo wewe!...

Yani mashabiki wa arseno wengi wao wanamental retardation...nahisi nawewe umo
NB :
NI UTANI TU

YANI BABU WENGA ANAWADANGANYAA
IKIFIKA CRISMAS TUU MNAANZA KUANDIKA KWENYE MABANGO WENGA OUT WENGA OUT..

Meme nimemic huu mchezo saana
 
Ukweli unauma
 
Scholes :" mourinho inabidi asajili wachezaj wake ila sio hawa ambao misimu 2 ya nyuma wameonesha hawako tayari kufia klabu la sivyo watamuumiza mno".
Nyie mnamuona hafai malegend ndio kwanza wanampa ushauri...
 
View attachment 429017
9827a5b5ec4a12197f3d5d0a8775f6af.jpg

tangu umeujua mpira ushawah kusikia tumecheza vizur europa huko ni kwa kina sevilla tunakamilisha ratiba na ndo mana ktk makocha wa manchester united hakuna kipengele ktk mikataba yao kinachosema ushinde na kushirik ueropa

mourinho kasema wachezaji wangu wamecheza kama mech ya kirafiki hawakuonesha juhud wajua kwa nini hawana mzuka
 
Back
Top Bottom