Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

present manchester united mtetez wa kombe la fa vipi arsenal?
Present iko hii hapa
2a566d4957924d667f8f3c697e7b2e37.jpg
 
Haya tena wadau na leo tena
Teampogba tunasulubu mtu leo
Kumbuka kawapiga 2 hawa leo sijui atawapiga ngapi??ngoja muda ufike tujionee
 
Ila Mou ananiboa sana kumchezesha Pogba namba kumi. Anampa majukumu yasiyo yake Pogba nafasi yake ni namba nane, kumi hawezi hata kidogo.

Kama vp angempumzisha basi nafasi yake acheze Mata, Hivi Mata anakaaje Benchi?.

Anyway kafanya vizuri kumpumzisha Ibra na kumuanzisha Rooney, pia nimefurahi angalau nimemuona Benchi Mikit nadhani atakuwa na dakika chache uwanja. Ni jambo jema pia kumuanzisha Martial angalau akili yake isozoee kukaa Benchi akapoteza kiwango chache.

Am waiting.....!!

GGMU GGMU GGMU GGMU
 
Back
Top Bottom