fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
Kusema kweli timu imebadilika kiuchezaji tangu game ya fenerbahce. Inacheza kitimu zaidi, inashambulia sana na la msingi zaidi inatengeneza nafasi za kufunga, clear chances. Kuna vitu vidogo sana vikibadilika, January tutakuwa title contenders.Ha ha ha ha ha! Sijui Hao GGMU wenzio Wana Mawazo Kama Yako?? Hivi Unahisi Kuna Mtu Anayeoogopa Kivuli?? Mana Nyinyi Sasahivi Ni Shadow tu La Man U..
