Wewe Sikushangai Kwasababu Huenda Ukawa Umezaliwa 2016...
Kama umezaliwa Chini Ya Hapo Basi Ndani ya Miaka 23 tumeshachukua Makombe haya:-
↓↓↓↓↓↓
2000/01 → UEFA Europa Cup
2004/05 → UEFA Champion League
2001 → Europa Supper Cup
2005 → Europa Supper Cup
2000/01 → FA cup
2005/06 → FA cup
1994/95 → League Cup winners
2000/01 → League Cup Winners
2002/03 → League Cup Winners
2011/12 → League Cup Winners
2000/01 → Charity Shield Winners
2006/07 → Charity Shield Winners
Sasa Kama umekusudia Ndoo Ya Maji!! Hapo umepatia... Lakini Kwa Makombe Makubwa Yote Basi Tumenyanyua!! Tulilokuwa Hatujabeba Premium League tu!! Kwahiyo Liverpool Hatuna Ukame Wa Makombe bali tumeshindwa Kunyanyua Kombe moja tu la Premium League...
Usikurupuke jipange kiuandishi kwani huu mchezo hauhitaji hasira..
Miaka 27 bila EPL. Huo sio ukame ni Ugumba.
Miaka 27 bila EPL. Huo sio ukame ni Ugumba.
Honestly speaking manure is not going to win EPL soon.....mnatakiwa kuwa wavumilivu sana
kuna kitu kilikuwapo pale (THE FEAR FACTOR) hii kitu kuirejesha naona imekuwa Ngumu sana na itakuwa ngumu sana maana ilijengwa kwa miaka mingi MOYES akaiunja within months, vitimu haviiogopi kabisa OT
kama zamani...
mna kipindi cha mpito hata hamna anaeamini kingechukua miaka 4 -5 hivi ila inakoelekea itafikia 5 au zaidi
mtizamo wangu tu lakini
Nakubaliana na wewe. Mou kapewa mda mrefu wakujenga timu anayoitaka.
Haswaaa tuombe uzima na Mimi nakuomba afya njema ili ushuhudie Haya kwa macho yako na masikio yakoLet us wait and see..

Niende WaPi wakati OT kuna tulizo la moyo wangu ?nije kwa Wenger nijinyonge? Hapana aiseee bora nibaki namshangilia KichuyaaaHama timu chacha aibu!

View attachment 426299
You need to retire Zlatan khe khe kheeeeeeeeeeee
View attachment 426300
What a waste ...... .......
View attachment 426301
Khe khee khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
View attachment 426302
Dah ...... Kina Nzi, Belo et al tumewazoea chacha watakuja na hadithi ndefu kama za Bulicheka khe khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeee
Basi wewe bingwa wa epl mwaka huu..Nilikuwa Sijui Kama Ubingwa unapatikana Kwa Pasi nyingi na Mashuti Fiza Mengi... Hongera Mkuu Kwa Timu yenu Kupiga pasi Na Mashuti Mengi.. Mwaka huu munatisha... Mashuti 30 bila ya goli!!!! Nyie Wakali... Nawaonea Huruma Wale Wabovu Wenzangu Liverpool, Arsenal na Mancity Kwa Mashuti 7 lakini Magoli 4... Wanapaswa Wajirekebishe Angalau Nawao Wawe Kama Nyie Mashuti 30 bila ya Goli..
😀😀😀
Ligi bado mkuu au huijui Epl wewe..? Tuliza mshono utaadhilika baadae kenge weweWewe Sikushangai Kwasababu Huenda Ukawa Umezaliwa 2016...
Kama umezaliwa Chini Ya Hapo Basi Ndani ya Miaka 23 tumeshachukua Makombe haya:-
↓↓↓↓↓↓
2000/01 → UEFA Europa Cup
2004/05 → UEFA Champion League
2001 → Europa Supper Cup
2005 → Europa Supper Cup
2000/01 → FA cup
2005/06 → FA cup
1994/95 → League Cup winners
2000/01 → League Cup Winners
2002/03 → League Cup Winners
2011/12 → League Cup Winners
2000/01 → Charity Shield Winners
2006/07 → Charity Shield Winners
Sasa Kama umekusudia Ndoo Ya Maji!! Hapo umepatia... Lakini Kwa Makombe Makubwa Yote Basi Tumenyanyua!! Tulilokuwa Hatujabeba Premium League tu!! Kwahiyo Liverpool Hatuna Ukame Wa Makombe bali tumeshindwa Kunyanyua Kombe moja tu la Premium League...
Usikurupuke jipange kiuandishi kwani huu mchezo hauhitaji hasira..
zlatan kapoteza nafas hiyo ya waz kabisa martial vs liverpool na southampton alizipata na alitumbukiza
rashford vs man city alitumbukiza ibra kapoteza hizo nafas mfululizo toka game ya stoke city
Ligi bado mkuu au huijui. Epl wewe.. Tuliza mshono utaadhulika baadae kenge wewe
Haha mkuu usipaniki wamevurugwa hao wanatataka wakuvuruge nawewe mkuu wee shangilia ubingwa unakuja maana kwa kasi hii ya klopp sijui kima gani atamsimamisha [HASHTAG]#Ynwa[/HASHTAG]Unanita Kenge????
Nimeangalia Profile Yako Umezaliwa Dec 1, 1997 ambapo mimi Nilikuwa Nina Miaka 14 ninasoma Form one! Wakati Huu Nilikwishabaleghe na Nimeshaanza Uhusiano Wa Kimapenzi na Baadhi Ya Wanawake Not sure If your mother was one among of them! Kwahiyo Huenda ikawa mimi ni Babayako Mzazi... Lakini Zaidi Kapime DNA ujilinganishe na mimi au Muulize Your Biological Mother, Who is Your real Father!!
Kwa Kuongezea tu!!! Blood Group Yangu ni B+, Hair Colour ni Black, Eye colour Brown-Blackish.... Skin Cour ni Black...
Me sitaki kujua sifa zak, wasifu wako... Juc go direct kwenye mada vipi mkuu?... Unaonekana mgumu kuelewa kwanini?Unanita Kenge????
Nimeangalia Profile Yako Umezaliwa Dec 1, 1997 ambapo mimi Nilikuwa Nina Miaka 14 ninasoma Form one! Wakati Huu Nilikwishabaleghe na Nimeshaanza Uhusiano Wa Kimapenzi na Baadhi Ya Wanawake Not sure If your mother was one among of them! Kwahiyo Huenda ikawa mimi ni Babayako Mzazi... Lakini Zaidi Kapime DNA ujilinganishe na mimi au Muulize Your Biological Mother, Who is Your real Father!!
Kwa Kuongezea tu!!! Blood Group Yangu ni B+, Hair Colour ni Black, Eye colour Brown-Blackish.... Skin Cour ni Black...
Wewe endelea kuwa shabiki wa Loserfools. Usijifanye unafahamu historia ya timu ambazo huzishabikii!Kabla ya 1992 Man U haikuwa Chchote Katika Ulimwengu wa Soccer.......