Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa anayetaka highlights za game ya leo hizo hapo chini


Man U Vs burnley

 
Good spirit hii ndio man u tunayoitaka inashambulia haikati tamaa bahati haikuwa upande wetu well done pogba,mata na herrera mmefanya kazi nzuri kwa die hard fans wanaelewa ila kwa wale mashabiki maandaz hawawez kuelewa
 
Kama hii mtu iliyomleta?
_92147372_036119146.jpg

Link Jose Mourinho: Man Utd manager sent to the stands in Burnley match

Sasa huyu mtaalamu wa mdomo atayarishe pauni 50 elfu za FA.
50k is peanuts if u make over 200k a week.
 
Sijui nifanye nini ili nisahau mechi ya Leo
Yaan hatana la kujitetea mkuu draw againts Stoke and burnley at OT haikubaliki.
Hatuja funga goali kwenye mechi 3 za mwisho za EPL, hatuja shinda mechi ya EPL toka september. Kati ya mechi saba tumeshinda moja.

Hatuna cha kujifariji hii timu inazingua.
 
We just lacked that "moment of magic".
Ukicheza dhidi ya tight defence kama ya Burnley ya leo,unahitajika kufanya kitu cha ziada kushinda mechi.
Hata hivyo nilivyoona,mara chache tulizotumia penetrating balls na one two uwezekano wa kufunga ulizidi,ila muda mwingi wachezaji walipendelea zaidi kucheza nje ya box na kutumia cross.Ufunguo uliokuwa unatumika kuifungua Burnley haukuwa ufunguo wa kitasa chake yaani,and we were busy trying to unlock the door!
 
nilichoona

Herrera aliifanya mechi iwe rahisi kwa pogba

Mata sio wa kutokea pembeni ni upotevu wa muda

Mata + Ander perfect Combo

Kwa mechi ya leo Pogba sikulaumu

Ibrahimovic < Giroud
 
Angekuwa mfungaji sasa hivi angekuwa na 10-13 goals. Anapata clear cut chances but cant convert!

Naona mmeshaanza kukubaliana na niliyosema wiki kadhaa zilizopita. Tatizo lingine linalomkabili Zlatani ni kucheza mechi zote dakika 90 kwa umri alionao. Ukizingatia anacheza mechi kila baada ya siku 3, anatakiwa apewe muda mrefu wa kupumzika. Mourinho anakosea jinsi ya kummeneji Zlatani kwa umri aliona.Angempa dakika 70-80 za kucheza. Anyway, mwache amkongolowe mapema Zaidi.
 
Hongereni sana Manure 1 pointi sio haba na mmejitahidi kupunguza gap la points na wanaongoza ligi hakika naona dalili ya ubingwa kwenu ligi bado mbichi....GGMU.
 
Ibrahimovich is rubbish!
Solution ni kumuondoa Jose...
Kua na timu mbovu na kocha mbovu inauma sana
ALIYEHARIBU USHINDI NI ZLATA JAMAA MSENG SANA YULE

Mmeshasahau leo? Mlikuwa mnasema vizee vinapokuja huwa vinaisaidia Man United kutwaa ubingwa. Alipokuja Zlatan alisifiwa sana na mlisema huu ni msimu wa ndoo. Ndoo ya Segerea? Walitajwa kama mfano Van persie na Larsson na ujio wao uliopelekea ubingwa wa EPL.

Link Zlatan Ibrahimovic: I could stay at Manchester United for three years or more

Link2. José Mourinho hails Ibrahimovic’s form for Manchester United
 
Back
Top Bottom