Yes daft.0 goal



Kama hii mtu iliyomleta?Ibrahimovich is rubbish!
Ibrahimovich is rubbish!
Ibra sidhani kama haumwi leo.. Rooney naye amekosa goli la wazi kabisa..Refa ni hovyo lakini pia strikers wetu ni hovyo.
Kweli ndugu game haikuwa yetu ibra ndo alikuwa anamaliza game first half ila siwezi kumlaumu ndo mchezo hivyo unavyokuwa.Game kama hizi sijilaumu, nahesabu ushindi moyoni mwangu. Tumepiga Mpira wote.
HATUKUWA NA BAHATI