Kubahatisha goliFellaini wa nini sasa?!
Wenzio Burnley wanaona kuna Pogba wanne!




Angekuwa yule aliye staafu angewazawadia....PENART KATUNYIMA REFA YA WAZI KABISAA

Hamia Arsenal ule raha ya soka la pasi....Mwaka huu jamani, tu nahitaji moyo wa uvumilivu wa ziada.
Wajinga walikuja kwa draw tu bado na manure wapo pungufu wanaweza shidaNdio basi tena, hawa Burnley wamekataa kufungwa na manure!!
0 goal19-1 corners!
Pogba kacheza vizuri sana, Ibra katuangusha.Wow..pogba anacheza vizuri sana..