Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli united kiboko na wewe unashinda humu?!

Hamna ukiboko wowote mpira wenu upo kwenye Sky Sports chacha hutaki tuangalie? Huyo Guadi hola anaudhi sana ugomvi wake na Aguero bado haujaisha. Bora mmeshinda lakini mnachubiriwa kwa hamu maana hamna timu ni kukurupuka purukuta tu. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi hujasoma na kuelewa nilivyosema. Makinda aka non premier league regular players.... Hata golikipa wa Arsenal Martinez ni 24yrs anacheza mechi za EFL as kinda/non premier league regular players but literally sio kinda. Chelsea wanamchezesha Chalobah ni kinda sio regular premier league(based on experience).. and so on...
Duh! Chifu ebu acha kujitoa ufahamu! Hiyo maana yako ya kinda ndiyo naisikia leo! Yaani mtu ana miaka 24 anaitwa kinda? Hivi unajua mzizi wa neno kinda? Hilo ni neno la kijerumani kind (kwa singular form child) na kinder (kwa plural form children). Sasa wachezaji wanapoitwa kinda, umaanisha ni watoto! Sasa huyo mtu mwenye miaka 24, anakuaje kinda?

Huwezi kusema "non premier league regular player" ndiyo inamaanisha kinda! Kwa hiyo akija mchezaji kasajaliwa kutoka ligi nyingine na ana miaka 30, hajawahi kuchezea EPL, naye utamwita kinda?

Kubali umechemsha blood.
 
Back
Top Bottom