Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kinda tunaangalia umri,wachezaji kama Iwobi,Kimmich,Weigl,Renato Sanchez,Rashford,Ihenacho,Januzaj ndio wanaitwa makinda.Huwezi kusema mchezaji ana miaka 28 kisa anawekwa benchi ukamuita kinda
Ukichukulia Kinda literally sawa. Nachukulia kimpira hapa. Wachezaji wasio na EPL experience ambao hawachezi mara kwa mara. Iwobi at this time sio kinda, Mnigeria (Ihenacho) wa Citey sio kinda, Rashford sio Kinda wote hawa wapo either first eleven or on the bench week in week out. Ndio maana wanasema timu nyingine zinatumia EFL/Carling cup as introduction of youth players and un-experienced players. Mourinho alikuwa desperate kupata ushindi leo hasa vs Guardiola (aliyewapa nafasi makinda kama 2 hivi. Hongera kwa ushindi. Wapi Champaign? Case closed.
 
IMG_20161027_001636.jpeg

Wasaga sumu
 
Tangu jumapili sisomi, siangalii wala kusikiliza habari za michezo...

Leo nitaanza kuperuzi tena kuanzia kule MU Website.

DonDonald huyu ndio mpenzi wa kweli. Timu ikifungwa anaumia na kutoangalia kinachoandikwa. Leo MU angefungwa labda angekuwa kama wale Waganda au Wakenya wa Arsenal miaka michache iliyopita.
 
Ukichukulia Kinda literally sawa. Nachukulia kimpira hapa. Wachezaji wasio na EPL experience ambao hawachezi mara kwa mara. Iwobi at this time sio kinda, Mnigeria (Ihenacho) wa Citey sio kinda, Rashford sio Kinda wote hawa wapo either first eleven or on the bench week in week out. Ndio maana wanasema timu nyingine zinatumia EFL/Carling cup as introduction of youth players and un-experienced players. Mourinho alikuwa desperate kupata ushindi leo hasa vs Guardiola (aliyewapa nafasi makinda kama 2 hivi. Hongera kwa ushindi. Wapi Champaign? Case closed.
Hii definition unaijua wewe tu huwezi ukaniambia mchezaji ana miaka 27 ni kinda kisa anawekwa benchi.Na mwanzo nilikwambia Mourinho ni muwazi kabisa kwenye timu yake hawa wachezaji unaowaona ndio watakaocheza msimu mzima usitegemee kama kuna mchezaji chipukizi utamuona ndio maana aliwauza kina Januzaj,McNair akawapeleka kwa mkopo kina Pereira,CBJ,Valera,Wilson kwa mkopo

Pep Guardiola hajashinda mechi ya 6 mfululizo sasa sijui hizo mechi nyingine aliwachezesha hao makinda unaowasema.Mwisho kabisa nasikitika sana hatujapangwa na Arsenal
 
Back
Top Bottom