Mata kawanyanyua...
Unawajua vizuri Amelia na Djilobodji ?Traore, Djilobodji, Amelia walikuwa makinda aka non premier league players. Ndivyo navyosema.
MataTayari moja
Hii tumelala tayariDuuh! Ni kwel DSTV wanazingua mbayaa
Ila poleni kwa kupigwa viwili
Usijali watacheza bado ligi nyingi kuna Caring cup na n.k
Unawajua vizuri Amelia na Djilobodji ?
Marco Amelia now ana miaka 34 Djilobodji ana miaka 27 hawa kwako ni makinda ?
Wanakera sanahivi nyie mnaotaka link za mpira kila siku google hamuijui acheni upuuzi kila kitu mtafuniwe
Khee kheeeeee kheeeee ......Leo humu hatupikiiiiii nenda kule kwa jirani yako kuna ubwabwa.......Nachikia mmepata ka goli ka ngama vipi? ... ..... .... ..... Khe khe khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manure 1 up Mata .... .... .. what a chance for a second ... ... .. Ibra akae bench tu chacha.
Kwa hiyo kwako Mkhitarian,Ashley Young ,Sergio Romero ni makinda ?Hivi hujasoma na kuelewa nilivyosema. Makinda aka non premier league regular players.... Hata golikipa wa Arsenal Martinez ni 24yrs anacheza mechi za EFL as kinda/non premier league regular players but literally sio kinda. Chelsea wanamchezesha Chalobah ni kinda sio regular premier league(based on experience).. and so on...