Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Last season tuliwatoa kwenye FA CupHao West Ham tunawaweza ... Tukutane semi final.
Bila shaka >>@MentorKuna mtu kakosekana kwenye hii karamu hapa jukwaani....
Man u Vs West Hamebana tupe updates za next round draw huko DonDonald
Man uEFL Cup quarter final
Posted at 17:17
Arsenal v Southampton
Share this post on
EFL Cup quarter final
Posted at 17:17
Hull v Newcastle
Share this post on
EFL Cup quarter final
Posted at 17:16
Manchester United v West Ham
Share this post on
EFL Cup quarter final
Posted at 17:16
Liverpool v Leeds
Share this post on
The draw
Chelsea Killers watawaletea kichapo.

Kwahio mlisahau kutia maji mkanyolewa kwa chupa sasa vichwa vinawauma? Kweli hammers balaa.Chelsea kuna msemo mmoja unasema kua ukiona mwenzio ananyolewa nywele wewe tia maji

Unapopita kwenye magumu jikumbushe magumu yaliyopita ulivukaje,Hii ndiyo Manchester United hakunaga kama sisi.....
Tottenham Hotspurs 4-1 Manchester United 1995/96 (MAN U won
the league)
Southampton 6-3 Manchester United 1996/97 (MAN U won the
league)
Newcastle United 5-0 Manchester United 1996/97 (MAN U won the
league)
Chelsea 5-0 Manchester United 1999/00 (MAN U won the league)
Manchester United 1-4 Liverpool 2008/09 (MAN U won the league)
Manchester United 1-6 Manchester City 2011/12 (MAN U won the
league)
Chelsea 4-0 Manchester United
2016/17 (MAN U will win the league)
![]()
![]()
![]()
We are the United.... Glory Glory Manchester United!!!
Hii definition unaijua wewe tu huwezi ukaniambia mchezaji ana miaka 27 ni kinda kisa anawekwa benchi.Na mwanzo nilikwambia Mourinho ni muwazi kabisa kwenye timu yake hawa wachezaji unaowaona ndio watakaocheza msimu mzima usitegemee kama kuna mchezaji chipukizi utamuona ndio maana aliwauza kina Januzaj,McNair akawapeleka kwa mkopo kina Pereira,CBJ,Valera,Wilson kwa mkopo
Pep Guardiola hajashinda mechi ya 6 mfululizo sasa sijui hizo mechi nyingine aliwachezesha hao makinda unaowasema.Mwisho kabisa nasikitika sana hatujapangwa na Arsenal

Guardiola hakuwa na mpango na hii mechi. Tangu jana alikuwa anasema ni mechi ya kawaida. Kutoshinda mechi 6 mfululizo ni juu yake. Usijali tutapangiwa na nyinyi muda si mrefu najua utaongea hivi hivi kabla ya mechi lakini baada ya Arsenal kuwapiga ubaya utakuja na visingizio vya kutopenda mchezaji Fulani kucheza badala ya mchezaji Fulani. Ndivyo wapenzi wa Man Utd mlivyo siku hizi.
Walitukamia balaa na wakatake advantage ya sie game kutukataa wakatugonga 4 leo sasa chupuchupu zile 4 zirudiChelsea kuna msemo mmoja unasema kua ukiona mwenzio ananyolewa nywele wewe tia maji
Hata Mourinho nini?hata mourinho